Kamati ya Zito yafichua Wizi CDA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya Zito yafichua Wizi CDA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, May 27, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imeutimua uongozi wa Mamlaka ya Ustawishaji wa mji wa Dodoma (CDA), baada ya kubaini madudu ya matumizi ya fedha pamoja na watumishi wake kuhusishwa na kashfa ya kuingia mikataba feki na makampuni ya simu.

  Watumishi hao wanadaiwa kuchota Sh. milioni 78 kutoka kwa makampuni ya simu na kuziweka mifukoni badala ya kuziwasilisha CDA.

  Source: Nipashe
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Funga wote hao.
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  POAC inafukuza au inatoa mapendekezo? Mfanyakazi si anafukuzwa na mamlaka iliyompa ajira?
   
Loading...