Kamati ya ufundi timu ya wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya ufundi timu ya wabunge

Discussion in 'Sports' started by Ngongo, Apr 12, 2011.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Wakuu hii imekaaje !

  Leo asubuhi kipindi cha jambo leo walimwonyesha spika wa bunge akitanagaza kamati ya ufundi ya timu ya wabunge.

  [1] Steven Ngonyani aka Professor Maji marefu Mbunge wa Korogwe.

  [2] Dr Shukuru Kawambwa Mbunge wa Bagamoyo

  [3] Hawa Ghasia Mbunge wa Mtwara

  [4] Khalifa Hilal Aeshi Mbunge Sumbawanga Mjini

  [5] Khalifa Khalifa Mbunge wa Wete Pemba

  [6] Maria Hewa Viti Maalum Mwanza

  [7] Mizengo Pinda Mlezi wa Kamati ya ufundi Mbunge wa Sumbawanga.

  Wajumbe wote wa kamati ya ufundi wanatoka maeneo yanayosifika kwa uchawi/ushirikina.Hivi hii timu ikishiriki ligi kuu Tanzania kuna timu ya kuifunga hata Yanga iliyochukua ubingwa kwa tofauti ya goli moja hakika ikikumbana na timu ya wabunge wangefungwa goli nyingi.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Peter Serukamba-Kigoma Mjini
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kigoma kuna mafundi wazuri !.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Nawakubali,nilishakaa huko mkuu.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  [1] Steven Ngonyani aka Professor Maji marefu Mbunge wa Korogwe.

  [2] Dr Shukuru Kawambwa Mbunge wa Bagamoyo

  [3] Hawa Ghasia Mbunge wa Mtwara

  [4] Khalifa Hilal Aeshi Mbunge Sumbawanga Mjini

  [5] Khalifa Khalifa Mbunge wa Wete Pemba

  [6] Maria Hewa Viti Maalum Mwanza

  [7] Mizengo Pinda Mlezi wa Kamati ya ufundi Mbunge wa Sumbawanga.


  NDUGU MPENDWA KWANZA NAPENDA KUKUAKIKISHIA HAPO KARIBU WOTE WAMEINGIA KWA NJIA YA UCHAWI WA WAGANGA HUKO BUNGENI SASA NAHISI UNAWEZA KUJUA KAZI ZAO ZITAKUWA NINI
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  NDUGU MPENDWA KWANZA NAPENDA KUKUAKIKISHIA HAPO KARIBU WOTE WAMEINGIA KWA NJIA YA UCHAWI WA WAGANGA HUKO BUNGENI SASA NAHISI UNAWEZA KUJUA KAZI ZAO ZITAKUWA NINI[/QUOTE]

  Mkuu ebu tuambie kazi zao.
   
Loading...