wanafukia Hirizi sio kurekebisha kiwanja sema ukweli wewe Mkuu AmavubiWakandarasi; Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda akisawazisha udongo kwenye Uwanja wa Kaitaba leo baada ya kuchimbua na kuurudhishia. Yanga SC itacheza na wenyeji Kagera Sugar kesho kwenye Uwanja huo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
huwezzi kuona kwa sababu imefukiwa tayari
Sasa kama hatuwezi kuona, wewe unatuonesha nini tusichoweza ona?