The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
Habari kutoka Dodoma zinadai kuwa kumeendelea kuwepo mvutano mkali sana baina ya wajumbe wanaounda kamati iliyoundwa asbhi kwenda kutafuta maridhiano ya namna ya kutekeleza mapendekezo ya PAC. Habari zilizochuruzika kutoka ndani ya kikao hicho zinadai kuwa wajumbe wanaotoka kambi ya Chama tawala wameendelea kushikilia utetezi wao kwa KUNDI LA MAFISADI kutokuachia ngazi huku kundi la wajumbe kutoka upinzani LIKIAPA KUTORUDI NYUMA na kuunga mkono utekelezwaji wa Maazimio ya PAC kama yalivyoainishwa
.Kwa taarifa nitawajuza hapo baadae...
.Kwa taarifa nitawajuza hapo baadae...