Kamati ya mapokezi jiandaeni kupokea wageni mtangaze utalii

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Hii kamati ya mapokezi mna maneno mengi sana.Mliisema sana Simba msimu uliopita mara ooh covid imewabeba,mara ooh sisi tukishiriki tutawaonesha mpira unachezwaje...Mungu si Athuman,Simba amewabeba mkaingia klabu bingwa.
Mechi ya kwanza tu mmeliaibisha taifa.

Basi jiandaeni kwenye kazi yenu maana mtawapokea sana wageni mwaka huu
 
Nyie ndo mtafika wapi kwa timu yenu niliyoiona Leo, ndo mnajitapa kufika mbali kwa kikosi hiki nilichoona Leo,,labda muendelee kuwekeza zaidi kwenye paka weusi na makafara vinginevyo safari yenu haipo mbali
 
Watasema caf inawapendelea simba!! Kwa nini sisi tu heze mechi 2 wakati Simba hawajacheza hata moja?? Kwa mwelewa hoja hii ni kama kichekesho fulani lakini kwa utopolo hiyo ni bonge ya point
 
Utopolo usajili mkubwa ni msukule labda
.
FB_IMG_1630654057699.jpg
 
Hii kamati ya mapokezi mna maneno mengi sana.Mliisema sana Simba msimu uliopita mara ooh covid imewabeba,mara ooh sisi tukishiriki tutawaonesha mpira unachezwaje...Mungu si Athuman,Simba amewabeba mkaingia klabu bingwa.
Mechi ya kwanza tu mmeliaibisha taifa.

Basi jiandaeni kwenye kazi yenu maana mtawapokea sana wageni mwaka huu
Kwani Ud Songo ilikuwaje? Au mlivuka preliminary stage, hebu tukumbusheni
 
Siyo kunguru?
Nyie ndo mtafika wapi kwa timu yenu niliyoiona Leo, ndo mnajitapa kufika mbali kwa kikosi hiki nilichoona Leo,,labda muendelee kuwekeza zaidi kwenye paka weusi na makafara vinginevyo safari yenu haipo mbali
 
Tayari umeshapata heat uko tayari kutafunwa
Kimtokacho mtu ndicho anachoishi. Hivyo usifikiri uyafanyayo wewe kwamba na wengine wanayafanya, siyo kweli. Hiyo ya kuwa kwenye joto na kuwa tayari kufanywa Baki nayo wewe maana inaonyesha pasi Shaka kuwa u mzoefu.
 
Back
Top Bottom