Skuizi wanamwaga hadi maji ya kunawa na kisha wanapindua meza...teh
Hizi picha zenyewe hazieleweki, kwenye kikao Mzee Makamba kavaa shati la kijani na kibarakashia nyeupe, kwenye gari aliloegemea Bashiru kavaa kanzu nyeupe, koti na barakashia ya rangi nyingine. Au ni picha tofauti za siku tofauti? Sijaelewa hii kitu.
Tuanzie hapa!
Naona kuna watu mmeumia sana hao wazee kutii wito.