mozambiqueone
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 232
- 119
HAKUNA KULEA UJINGA HAPA. HATUTAKI USHOGA, HATUA ZICHUKULIWE TABIA ZISIENDELEE. WEAK MEN WEAK MEN, WANAAMBUKIZA WENGINE TABIA YA AJABU. VITU VYA KUJILAZIMISHA, TAMAA ZISIZO NA MIPAKA. HAKUNA KULEA WATU KAMA HAO. WANYAMA WANAJIELEWA KULIKO WANADAMU! KUTETEA NI KAMA KUSAPOTI UDHAIFU WA AJABU WA WANAUME, KUWEPO NI TATIZO YAANI TUSIJARIBU ETI KUWAPA NAFASI KUWASIKILIZA WANACHAFUA JAMII. .... NI UDHAIFU AU UPUNGUFU KWENYE AKILI.....View attachment 361460 Kamati ya maadili ya wa bunge itajadili kitendo cha Clouds Tv kurusha mahojiano ya Godfrey Majunga maarufu kama Kaoge na itapeleka uamuzi wake TCRA
Umesikia wapi? Bungeni?Mbona nmesikia kua wabunge wameomba hilo swala liongelewe ikiwezekana sheria kali zitumike kwa clouds ili iwe fundisho
Ulimsikia Amina Mollel?Nimeshangazwa kwa bunge kumalizika bila kauli ya wabunge wa Ccm kuwakemea clouds TV kupigia debe ushoga!!
Mtoto wa kike analindwa,wa kiume je?
Wabunge kweli wameshindwa hata kuomba kauli ya serikali?
Kwa nini clouds TV wasifungiwe? Nani anawalinda?
Hivi ni lini uliwahi kuona mbunge wa ccm anapigania maslahi ya taifa?Nimeshangazwa kwa bunge kumalizika bila kauli ya wabunge wa Ccm kuwakemea clouds TV kupigia debe ushoga!!
Mtoto wa kike analindwa,wa kiume je?
Wabunge kweli wameshindwa hata kuomba kauli ya serikali?
Kwa nini clouds TV wasifungiwe? Nani anawalinda?
Mimi nina siku kibao nimehama kabisa kuangalia na kusikikiza hiyo tv na radio za hao watuKuna siku clouds watakuja kuandaa tamasha la mashoga
Hatuna diraHv wasijadili sukari wajadili ushoga kweli watu wanapenda ushoga
Hivi ulimuona huyo Kaoge? Hivi mwanaume rijali unaweza kweli kum--- hata kama ni mpenzi wa hayo mambo? Nadhani wewe ni KE, hivi utajisikiaje ukiwa na mtoto kama kaoge si utampiga risasi afe kama baba yake marvin gaye alivyofanya! It is paining. Hivi huyo Kaoge si ni teja tu sijui. Lakini hiyo clip ilikuwa ni funzo kwetu wazazi na si busara kumwonea mtangazaji au Clouds TV. Kuna swali hakuuliza la msingi, jinsi alivyoanza
RC Makonda alipiga simu kulizungumzia swala hilo. Hivyo ilitosha kuona serikali ikilishughulikia.Au kuna taasisi ya kishoga inaifadhili clouds kimyakimya? Maana hii si Mara yao ya kwanza kuwakusanya mashoga na kuwapa promo.
Kila mtu anajua ushoga ni kosa la jinai,clouds wana celebrate jinai kuoitia leseni inayowataka wasiharibu maadili