Kamati ya Lowassa yachanganya mambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati ya Lowassa yachanganya mambo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIM KARDASH, May 7, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje chini ya uenyekiti wa Edward Lowassa ipo ziarani Morocco.Waheshimiwa wetu hawa wakiwa huko wametoa msimamo unaofanana na ule wa Morocco lakini unaokinzana na ule wa serikali ya Tanzania kuhusiana na suala la Sahara Magharibi.

  Kamati ya mambo ya nje imetoa msimamo na kudai Tanzania inaunga mkono Morocoo katika harakati zake kwa Sahara Magharibi wakati inavyofahamika ni kwamba Tanzania kwa maana ya serikali haiiungi mkono morocco kwenye suala hilo.

  Swali:Je kamati ya bunge ya mambo ya nje inayo mamlaka ya kutoa msimamo kwa niaba ya serikali?kama hapana kuna ushawishi gani wamekumbana nao waheshimiwa hawa wakiwa huko morocco kiasi cha kuwalevya na kuamua kutoa msimamo huo ambao ni Tofauti na msimamo wa serikali?
   
 2. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Waunge mkono Morocco wasiunge siye haitusaidii tunataka kujua nchi ina mkakati gani kufufua uchumi wetu. Hatushimbii morroco na huku wanatumia kodi yetu tu kwenda kukinzana huko
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,392
  Trophy Points: 280
  hili hata mimi nimelisikia na nilikuwa nafuatilia; yawezekana ni katika kumgonganisha Lowassa na Membe. Watu wa Morocco wamekuwa wakjitahidi kutaka Tanzania ibadili msimamo wake wa kuunga mkono harakati za watu wa Western Sahara kuwa na uhuru wao, msimamo ambao kwa wanaoukumbuka ulikuwa ni mmoja kwa Nyerere.

  Ndio sababu ya kuunga mkono Palestina, Polisario na Biafra kama ilivyokuwa kwenye kuunga mkono ANC na vyama vya ukombozi wa Afrika.
   
 4. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Tanzania haijawahi kutangaza kuacha kuiunga mkono Sahara Magharibi katika kujitafutia uhuru toka Morocco. Pia siamini kama Kamati ya Bunge ina madaraka ya kutoa tamko kubwa kama msimamo wa taifa kuhusu mahusiano yake kimataifa!

  Kama kweli ni migongano ya EL na Membe ndiyo chanzo cha hili tukio basi ni kithibitisho kibgine cha upumbavu wa jamaa zetu kwa kubeba siasa na misuguano yao hadi katika mambo ya kimataifa na kuaibisha taifa!
   
 5. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Waheshimiwa hao wa kamati ya mambo ya nje wakiongozwa na mwenyekiti wao lowassa wakiwa morocco

  [​IMG][​IMG]  Morocco's Return To AU

  "May Encourage A Settlement To Its Advantage" Of The Sahara Issue:
  Tanzanian Senior MP, Chairman of the Committee on Foreign Affairs and Defense in the Tanzanian parliament, Edward
  Lowassa Ngayai, said Monday his country would work for the return of Morocco to the African Union (AU), stressing that
  such a move "could encourage a settlement to its (Morocco) advantage" of the Sahara issue.

  "We are in perfect harmony with the U.N. resolutions and Tanzania is satisfied with the autonomy proposal to the southern provinces put forward by Morocco as a solution to the Sahara issue. We consider that the return of the Kingdom to AU can only encourage a swift settlement in its favor," said Ngayai Lowassa, during a meeting in Rabat with members of the Committee on Foreign Affairs, Defense, Islamic Affairs and Moroccans Expatriates in the Parliament.

  To this end, the Tanzanian MP expressed his country's "full willingness" to "punch its weight on the continental level, in particular, in order to provide the necessary support to Morocco to settle to the Sahara conflict that has dragged on for too long" he said.

  "The Moroccan autonomy plan must be supported by all African countries and we will defend the proposal and convey
  the reality of this issue to our partners, because our goal is to see the Sahara in good hands as part of a united
  Africa," added Lowassa, who also welcomed the reforms undertaken in Morocco in various fields.

  In their comments, members of the Committee on Foreign Affairs and Defense in the Tanzanian parliament recalled
  that the visit to Morocco, after the one made in late 2010, mirrors Tanzania's willingness to deepen its relations
  with the Kingdom. To this end, both parties agreed that a Moroccan parliamentary delegation will conduct a similar visit to Tanzania by the end of next summer, at the invitation of the Parliament of this country.


  "Morocco has withdrawn from the Organization of African Unity (...) but not from Africa, where it remains grounded
  and maintains deep relationships with most countries of the continent," Naima Farrah, first vice president of the
  Committee on Foreign Affairs, Defense, Islamic Affairs and Moroccans Expatriates, stressed for her part. She warned against the inhuman conditions under which lives the sequestered population in Tindouf that "became a place for both the proliferation and export of terrorism." She also welcomed the visit to Morocco of the Tanzanian delegation to give new impetus to bilateral relations.

  April 30, 2011

  SOURCE:WEBSITE YA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MOROCCO
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kaazi kwelikweli!
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nawasubiri wale mabingwa wakumtetea waje hapa. Wale "vijana wake!" maana tukiwaambia mapungufu huwa wanageuka vipofu, viziwi na walemavu wa ubongo na akili zao!
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ukiona kamati inajikomba kwa morocco kuna kitu wamekiona sasa wanataka kupiga umatonya.
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kumbukumbu zangu zimepotea kidogo kwa kuwa jana sikupata kahawa: Hivi Tanzania si tulikuwa na wawakilishi wa POLISARIO miaka ya nyuma huko, je bado wapo?

  Pia Morocco iliwahi kusimamishwa uanachama wa OAU by then kwa sababu ya hii Sahara Magharibi. Msimamo wa AU kwa sasa juu ya uhuru wa Sahara Magharibi ukoje?
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Naona Mama Shelukindo anacheka jino pembe. Nasikia alishajisalimisha kambini.
   
 11. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tulianza na kuivunja siasa ya ujamaa na kujitegemea bila kuliondoa kwenye katiba wengine wakaiita 'busara ya viongozi' na sasa tunaanza kuvunja mikataba na makubaliano ya kimataifa. Labda watasema ni 'busara za kupambana na mfumuko wa bei'.

  Dola inayoporomoka utaijua tu!
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Romantic Kwanza wamefuata nini huko?
  Halafu wakuu diplomasia inasemaje? Yaani mtu aje kwako aanze kukusema kwamba wewe ni mbaya unaikalia Sahara Magharibi ondoka haraka sana huo ndio msimamo wa Tanzania! Kama una kinyongo si huendi tu.

  Kuna maeneo Nyerere alikuwa haendi kwa kuwa alikuwa na msimamo tofauti na nchi hizo. Hakwenda Uganda kwenye ziara ya kiserikali kwa kuwa alikuwa hakubaliani na Field Marshall Idd Amin Dada. Kuna wakati alienda tu kuhudhuria mkutano wa OAU. Pia nakumbuka Nyerere alienda ziarani Zaire wakati wa Mobutu lakini siamini kama alimkemea General Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa Zabanga kuhusu utawala wake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hilo limama linafiki sana,ni kweli limejisalimisha kwa jamaa licha ya kwamba jamaa alikua na mkono kwenye kushindwa ubunge kwa mumewe mzee shelukindo na Januari
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanatafuta hela ya uchaguzi ili washike dola ndo maana hawajui hata msimamo wa nchi wanayotumikia
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unataka kutuambia Tanzania ina mtazamo tofauti na UN? au hujui alichokisema Lowassa?

  "We are in perfect harmony with the U.N. resolutions and Tanzania is satisfied with the autonomy proposal to the southern provinces put forward by Morocco as a solution to the Sahara issue. We consider that the return of the Kingdom to AU can only encourage a swift settlement in its favor," said Lowassa.
   
 16. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo ulichonena ni kweli mkuu Mungi. Na hicho si kingine ila ni mafungu ya kujipanga kuingia ikulu.
   
 17. N

  Njaare JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
 18. p

  petrol JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Mie hapa napita tu. Membe atufafanulie kama sera na msimamo wa tz kuhusu sahara magharibi vimebadilika.
   
 19. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Aisee haya mambo yanatia aibu sana. Unajua ukishajulikana kuwa ni ndumilakuwili tayari una kuwa umeweka izika heshima yako mbele ya jamii hasa undumila kuwili kama huu.

  Natarajia wabunge wafanye kitu hapa maana bila hivyo Rais hawezi kufanya chochote.
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Haya nilikuwa nimeweka kwenye ile thread ya Kitine na Membe.

  Independence for Western Sahara "outstanding": Tanzania

  New York (UN), September 23, 2011 (SPS) - The President of Tanzania, Mr. Jakaya Kikwete, expressed hope that the United Nations will take urgent steps to enable the Saharawi people to its right to self-determination and the decolonization of the last colony in Africa.

  Western Sahara remains the only part of Africa which has not gained independence, according to the President of Tanzania. Western Sahara, a former Spanish colony in north-west Africa, is now disputed by Morocco which claims it and the Polisario Front liberation movement which wants independence.

  President Jakaya Kikwete told the UN General Assembly that in the 50 years of its membership of the United Nations, Tanzania has contributed to the decolonization of Africa and other parts of the world. He said his country gave sanctuary and support to almost all liberation movements of Southern Africa.

  "It is heart-warming indeed, to see our efforts, sacrifices and contributions having been rewarded so handsomely with the independence of all African countries and apartheid having been dismantled in South Africa. Only Western Sahara remains outstanding. I hope the United Nations will expedite the process so that people of Saharawi can determine their future peacefully."

  President Kikwete said this at the Un General Assembly.

  [​IMG]


  President of Republic congratulates president of Tanzania

  Wed, 12/07/2011 - 1:01pm

  [​IMG]

  Bir Lahlue ( liberated territories) December 7, 2011(SPS) President of the Saharawi Arab Democratic Republic(SADR) and Secretary General of the Polisario Front, Mohamed Abdelaziz, Wednesday, congratulated , president of the United Republic of Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, on the occasion of the 50th anniversary of independence .

  "As our brothers in Tanzania celebrate- with deserved pride- the 50th Anniversary of their independence, it is a great honour for me to express to you and through your Excellency to the people of Tanzania, our warmest congratulations on behalf of the Saharawi people, the government of the Saharawi Arab Democratic Republic and on my own behalf as well as our best wishes for success" writes the president in a message to his Tanzanian counterpart.

  "Since its independence, Tanzania became a shrine for all Liberation Movement and Freedom Fighters of Africa "For, the right to freedom either exists throughout Africa, or it does not exist anywhere in Africa" (Mwalimu Julius K. Nyerere)."

  Because of that, reads the letter "unflinching Pan-African policy and support for the Liberation Movement, the independence of Tanzania constitutes a landmark in the history of our continent and, therefore, its Anniversary is a happy occasion for us to commemorate"

  President of SADR took this opportunity to reiterate "our high appreciation and profound gratitude for the support and solidarity constantly extended by Tanzania to the just struggle of the Saharawi people for freedom and independence"

  He finally expressed full readiness to strengthen "bonds of friendship, solidarity and cooperation between our two nations for their common interests and those of our continent." (SPS)
   
Loading...