kwako Baba V, napendekeza kuundwa kamati ya kuvunja ndoa za watu.uy
mwenyekiti Mungi
katibu awe Nicas Mtei
wajumbe wawe sweetlady, LARA1, Kabakabana, Asprin, Erickb52.
ndoa ya kwanza kishughulikiwa itakuwa ya mjumbe mojawapo wa kamati hii yaani ndoa ya @swewtlady na nitonye
Mungi kamati uipendekeze wewe na wewe mwenyewe uwe mwenyekiti
Hakuna kitu kama hicho
Na ulivyo na hamu na sweetlady unataka tuu ndoa yake ivunjike ili umuoe na ukishamuwowa na kamati yako inavunjika
Mungi kamati uipendekeze wewe na wewe mwenyewe uwe mwenyekiti
Hakuna kitu kama hicho
Na ulivyo na hamu na sweetlady unataka tuu ndoa yake ivunjike ili umuoe na ukishamuwowa na kamati yako inavunjika
kazi ya tume itakuwa kila mjumbe awe anafumaniwa na mke wa mtu, mfano sweetlady kufumanuwa na nitonye live gest akiwa na Mr Rocky au Madame B anafumaniwa live na Chimbuvu akiwa amepakatwa na Mungi.
hiyo ndo kazi ya kamati

Mkuu Mungi kwanza kabisa lengo kuu la kuanzishwa kwa hiyo kamati si jema kabisa,ni imani yangu kubwa kuwa kila mwana chit chat anapenda kuona ndoa zilizopo zinastawi na walio nje ya ndoa wanadumisha upendo baina yetu wanachit chat wote,ndio maana ikaundwa tume yangu na kamati zake ili kuhakikisha kuwa wanaoingia katika mahusiano na ndoa wanafurahia bila kuwepo kwa vitisho vya ndoa yao kuvunjwa.
Napinga kuanzishwa kwa kamati yako kutokana na WASIWASI wangu juu ya hatma ya ndoa za watu,nahofia kwamba ENDAPO HAKUTAKUWA NA MIGOGORO KATIKA NDOA NA KAMATI IPO NA LAZIMA IFANYE KAZI,Matokeo yake itakuwa ni kutafuta visababu vya kuvunja ndoa za watu ili kamati iendelee kuwa hai.
PIA tutambue kuwa sio kila ndoa inayokumbwa na mgogoro ni lazima iishie kuvunjika, kunapotokea mgogoro ndani ya ndoa sisi wadau wengine tushirikiane na wanandoa husika kutatua mgogoro baina yao lakini suala la ndoa kuvunjika au kuendelea kudumu ni la wanandoa wenyewe.ndoa inafungwa bila kusudio la kuvunjika baadae.tudumishe hilo
NDOA IHESHIMIWE NA WATU WOTE. Baba V
Mwenyekiti.