Kamati ya Dino na Maridhiano Hawana la Kusema au kushauri suala la Lissu

Kamati ya Dino na Maridhiano Hawana la Kusema au kushauri suala la Lissu

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,523
Reaction score
6,462
Dini zote kitu cha Kwanza ni kuhubiri Haki, kama za Yatima, Wajane n.k. sasa hivi nchi yetu ina Kesi ya "Uhaini" ambayo Kwa sasa imesimama Kwa muda Mrefu tokea ilipo aanza, hivyo kusababisha Haki za msingi za mtuhumiwa kuvunjwa.

Mtuhumiwa yupo tayari kesi iiendele ili haki iweze kutendeka na ionekane imetendeka. Lakini wenye Kesi wenyewe, ndio wanaona kuichelewesha ndio "Haki" kutendeka. Hivyo Viongozi wetu WA dini ni vizuri wakati neno, Kwani dhuluma Kwa moja wetu, maana yake ni dhuluma Kwa wote. Leo kwangu Kesho kwako.

Hivi Kiongozi WA wasabato Bongo ni Nani??
 
Dini zote kitu cha Kwanza ni kuhubiri Haki, kama za Yatima, Wajane n.k. sasa hivi nchi yetu ina Kesi ya "Uhaini" ambayo Kwa sasa imesimama Kwa muda Mrefu tokea ilipo aanza, hivyo kusababisha Haki za msingi za mtuhumiwa kuvunjwa.

Mtuhumiwa yupo tayari kesi iiendele ili haki iweze kutendeka na ionekane imetendeka. Lakini wenye Kesi wenyewe, ndio wanaona kuichelewesha ndio "Haki" kutendeka. Hivyo Viongozi wetu WA dini ni vizuri wakati neno, Kwani dhuluma Kwa moja wetu ,maana yake ni dhuluma Kwa wote. Leo kwangu Kesho kwako.

Hivi Kiongozi WA wasabato Bongo ni Nani??
Why sabato
 
Maana kuna Kiongozi wa Muhimili moja ni Msabato, nilikuwa nategemea pia ni muumini mzuri wa Haki, na kama amepotoka ni matarajio kiongozi wake wa Kiroho kumkubushia wajibu wake
Umenena vema......CJ wa Musoma
 
Back
Top Bottom