Kamati ya Bunge kujadili usalama wa nchi

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,950


Dodoma. Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama chini ya mwenyekiti Balozi Mh Adadi Rajabu leo mchana itakutana ili kujadili masuala ya kiusalama ikiwamo ya kuuawa kwa polisi na raia nchini.

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameyasema hayo leo baada ya kipindi cha maswali na majibu alipokuwa akijibu muongozo wa Mbunge wa Bukombe, (CCM) Dotto Bitteko.

Polisi wanane waliuawa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi, wilayani Kibiti, mwishoni mwa wiki iliyopita.
 
Hoja kutoka mbunge wa ukweli. Chama tawala, lazima ionekane kuwa ni hoja. Upinzani hata mkimtuma KUB, nyiye hamna hoja. Kweli Vi-wonders. Tz hii ni ya kushangaza. Si mngeianza tangu juzi ile alipoitoa Mbowe si mngeshaimaliza
 
Hoja kutoka mbunge wa ukweli. Chama tawala, lazima ionekane kuwa ni hoja. Upinzani hata mkimtuma KUB, nyiye hamna hoja. Kweli Vi-wonders. Tz hii ni ya kushangaza. Si mngeianza tangu juzi ile alipoitoa Mbowe si mngeshaimaliza
Hovyooo
 
huyu spika alikuwa mgonjwa nadhani akili bado haijamrudia vizuri.
wabunge wetu wamepiga kelele muda mrefu.....wananchi wanatekwa ,wengine wamepotea leo ndio spika anashtuka???
huyu wamrudishe india akaendelee na matibabu.
 
Hawa ndio wanaoharibu amani na usalama wa nchi
 

Attachments

  • tmp_14076-IMG-20170416-WA00421190242031.jpg
    tmp_14076-IMG-20170416-WA00421190242031.jpg
    35.7 KB · Views: 29
taasisi ikiongozwa na mtu dhaifu inapoteza hadhi kabisa...tuwe na bunge lingine dogo lawasomi watupu tafadhali!!
mdee alishatuambia kiongozi wake bungeni ni wa namna gani!! Msg sent
 
Back
Top Bottom