Hawa ndio wanaoharibu amani na usalama wa nchi
NAONA AIBU MIMI....Sasa hapo chadema hawachomoki kwa jinsi walivoua watu wengi
Mkuki kwa nguruwe sawa Ila kwa chama tawala sio sawa
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama leo mchana itakutana ili kujadili masuala ya kiusalama ikiwamo ya kuuawa kwa polisi na raia nchini.
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameyasema hayo leo baada ya kipindi cha maswali na majibu alipokuwa akijibu muongozo wa Mbunge wa Bukombe, (CCM) Dotto Bitteko.
Polisi wanane waliuawa na watu wanaodaiwa kuwa majambazi, wilayani Kibiti, mwishoni mwa wiki iliyopita.
[emoji106]Kama walisema nchi iko Salama wanakutana kujadili nini, unafiki tu
Yachunguzwe haya...upatikanaji wa mkaa, usafirishaji wa magogo, biashara ya mbao, matumizi ya maliasili(wanyama na bidhaa zao huko Selou), biashara zinazohusu bandari bubu(kuingiza bidhaa za magendo, vifaa vya solar fake, madawa ya kulevya, uvuvi haramu). Pia mahusiano baina ya wafanyakazi wa serikali na wananchi wa mkoa wa pwani/Rufiji; wawakilishi wa wananchi(wabunge, madiwani) wayasemayo kwenye mabaraza ya madiwani, vikao vingine vya haliashauri za wilaya, kwa wananchi); mengine ongezea!
Uhusiano wa wazaliwa wa maeneo hayo na watanzania wanaoamia maeneo hayo!Duuuuuhh
🙁🙁🙁Ccm wanaendelea kujionesha kuwa wao ni vilaza hapa tanzania
Hivi zinakutosha we we!!!Hawa ndio wanaoharibu amani na usalama wa nchi
Vilaza wa bavicha bana???
Sasa Mbowe alitaka iundwe kamati mpya wakati kamati inayohusu usalama ipo na inafanya kazi zake...yaani alitaka ulaji tu.
KWENU VILAZA:KASOMENI KUHUSU KAMATI ZA BUNGE
Huwez kushinikiza kamati kujadili hulka za baadhi ya watu tu. Bali kamat itajidili masuala ya ulinzi na usalama katika Muda wanaona unafaa kama unavoona Sasa.Wajinga tu haya baadhi ya mabunge ya ccm,hoja imetolewa muda mrefu lakini yameipuuza,saa hizi yanajifanya yameridhia kuijadili