Kamati ya Bunge ilipotembelea balozi zetu Amerika

nngu007 nakubaliana na wewe mkuu kwa hiyo wa kumlaumu sio lowasa maana lowasa ndio mkuu wa kamati hiyo kwa hiyo anapewa kipaumbele zaidi wa wengine hapo tuilaumu serikali nzima ya ccm kwa mpango wao mbovu huu wa kuwapa wake za viongozi per dm maana hata kama raisi, waziri mkuu, makamu wa raisi, na mawaziri mbali mbali huwa wanaenda na wake zao hasa wale wenye uaminifu wa unafiki maana wengine wanachukua huko huko tena kwa hela zetu za wananchi masikini. na vile vile labda tupate kujua zaidi kuwa mama regina kapewa PER DM? hilo ni lamsingi kabla hatujahitimisha hoja maana kuwepo huko inawezekana anakula pamoja na mumewe na sio kama yeye. na vile vile kuna mambo makubwa ya kudiscuss jamani kuliko haya madogo madogo ya kusafiri na hivi viburudisho. mi naona bora yeye kuliko wale wanaoenda huko na kuwanunua sexworker kwa gharama kubwa na kuburudika nao huyo mama atarudi na vichange na kuvitumia hapo bongo kuliko huyo changu vidola vitabaki huko huko hatuvifaidi hata kidogo. ndio itikadi ya ccm hiyo mjomba badili taswira 2015 kuwa balozi wa kuleta mabadiliko katika jamii inayokuzunguka hapo.
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu nngu007 umejuaje kama Mama Lowassa amelipwa kwenye hiyo safari?

Hiyo Ndio Protocol Ukiwako kwenye Msafara wowote wa Kiserikali unalipwa hata kama wewe ni mbeba Viatu

Malipo yako yatakuwa ya hali ya JUU...

Kama wangekuwa wamekutana ndio... Lakini Jina liko kwenye Msafara; Lazima alipwe na serikali; Someni Wananchi

Wa Tanganyika muache kudanganywa na Serikali ya Chama Chenu kitukufu... JUENI MATUMIZI YA SERIKALI
 
Mkuu nngu007 hata kama ni mke halali ndio unataka kutuaminisha basi naye anafaa kuwa mmoja wapo wa wajumbe?
 
Last edited by a moderator:
Regina Lowassa kupewa Per Dm au kutopewa hiyo sio hoja muhimu. Ukweli ni kwamba safari ya utalii ya kamati za Bunge ughaibuni ni UFISADI wa mchana kweupe. Serikali inadai haina pesa za kuboresha huduma za afya, hizi safari zinaundwa kutafuna pesa za walipa kodi - period. Wapiga debe wanasema eti tunawaonea wivu! Wivu kwa kutuibia pesa zetu? Kisha huyo mkurugenzi wa ufisadi eti anaongelea suala la uzalendo!!! Nchi hii bila KUTWANGANA kwanza hatufiki mbali!!!!:redface:
 
Nashindwa kuelewa great thinkers mnavyodanganyika. Hv hio picha hamjagundua tu kuwa si Marekani hapo. Au mambo ya photoshop. Epuka kumhukumu mtu kwa picha.
 
Nashindwa kuelewa great thinkers mnavyodanganyika. Hv hio picha hamjagundua tu kuwa si Marekani hapo. Au mambo ya photoshop. Epuka kumhukumu mtu kwa picha.
Tunaufahamu wetu kabisa kwa taarifa yako ni kwamba Lowassa na Mkewe Regina haziwatoshi kabisa ataambatanaje naye kwenye kazi za kibunge wakati Regina si mbunge leave alone kwenda sasa kutumia fedha wakati nchi nzima haina CT-SCAN
 
TAZAMA RAMANI
Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaaaaaaaa....
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
ameukomesha X2

Chemchem ya furaha amani nipe tumaini,
Kila mara niwe kwako nikiburudika,
Nakupenda sana hata nikakusitiri,
Nitalalamika kukuacha Tanzania.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Karume
ameukomesha X2

Nchi yenye azimio lenye tumaini,
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania,
Ninakuthamini hadharani na moyoni,
Unilinde nami nikulinde hata kufa.
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere
ameukomesha X2

**********************************************
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote;
Nchi yangu Tanzania,Jina lako ni tamu sana;
Nilalapo nakuota wewe,niamkapo ni heri mama we;
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote;

Tanzania,Tanzania,ninapokuwa safarini;
Kutazama maajabu,biashara nayo makazi;
Sitaweza kusahau mimi,mambo mema ya kwetu kabisa
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote.

Tanzania,Tanzania,watu wengi wanakusifu;
Siasa yako na destruri,ilituletea uhuru;
Hatuwezi kusahau sisi,mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote
 
Jamani au ni chakula cha jioni baada ya kazi?Mama alifanywa kuitwa tu au walikutana tu huko njiani, mama alikuwa na safari zake na baba (Mwenyekiti)wa kamati akajipangia aende kikazi nchi aliyo mama, hivi hapo ni ubalozi wa nchi gani?
 
Mimi nataka waende Lebanon na waniambie kwanini Zakhem (huyu huyu tunayemjua) ni consulate desk officer wa Tanzania katika ile nchi wakati ana uraia wa Lebanon pia. Anayebisha kwa hili niko tayari kutoa ushahidi wa maandishi!!

Nchi hii ina madudu ya ajabu sana!!
 
Usalama wa taifa wako wapi? kwanini mtu asiye kiongozi anaenda kupokea taarifa za Serikali? kwanini anapewa heshima zoote? ina maana viongozi wetu wanawapeleka wake zao katika masuala ya kikazi? Basi nami nitaingia na mke wangu kayika mikutano na vikao vya hapa ofisini kwangu
IMG_6785+-+Copy.JPG

Kumbe na mke wa Lowassa ni mbunge siku hizi? Nisaidieni jamani. Maana naambiwa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ipo kazini huku 'mbunge' asiye wa viti maalumu wala kuchaguliwa Regina Lowassa na mumewe wakichukua nafasi ya mbele. Jamani nchi yetu! God forbid if anybody with common sense comes to power, chances are many will end up in Lupango. Au siyo?
[/QUOTE]
 
Mkuu nngu007 hata kama ni mke halali ndio unataka kutuaminisha basi naye anafaa kuwa mmoja wapo wa wajumbe?

Mimi napiga huyo Mama kuwa Mjumbe kwasababu kwanini wajumbe wengine wake na waume zao hawakualikwa?

Lakini CCM ina CULT few within watakula...

Yaani mimi pamoja na kushutumu kwa PICHA HAKUNIELEWA KUWA SIKUPENDA HIVYO? KWELI NDIO MAANA TUTABAKI


KUTAWALIWA NA CCM SABABU HATUJUI HATA KUSOMA HABARI HUMU NDANI YA JAMII FORUMS
 
Back
Top Bottom