Kamati ya Bunge ilipotembelea balozi zetu Amerika

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

IMG_6785+-+Copy.JPG

Kumbe na mke wa Lowassa ni mbunge siku hizi? Nisaidieni jamani. Maana naambiwa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ipo kazini huku 'mbunge' asiye wa viti maalumu wala kuchaguliwa Regina Lowassa na mumewe wakichukua nafasi ya mbele. Jamani nchi yetu! God forbid if anybody with common sense comes to power, chances are many will end up in Lupango. Au siyo?
 
Kaka nashangaa kuona bi mkubwa Regina amekaa mbele badala ya wajumbe wa kweli. Hata kama mumewe kamlipia au kajilipia mwenyewe, hakupaswa kuwa mbele badala ya wajumbe wenyewe. Beat Shellukindo uko wapi dadaangu? Kweli hii ni Tanzania ya ufisadi na uhovyo hovyo!
 
With this behaviour yet you wanna vote him to the presidency ? Crazy ****
 
Mwenyekiti akifurahia jambo pamoja na wajumbe ambao hawapo pichani, kutoka kushoto ni Birigedia Jenerali Venance Mabeyo, Kaibu Balozi Dkt Justin Seruhere, Mhe. Edward Lowassa ( Mb) na Mama Regina Lowassa.

Kwanini Mama Lowassa anahudhuria hizo safari na mikutano? Yaani na yeye Pia analipwa kama

Mama Kikwete? Yaani Kweli wanajua kutafuna Pesa za Walala hoi lakini utasikia hakuna pesa za

kuwapa Madaktari kwasababu wao wote wanatibiwa Nje...

*** Mama Lowassa anachekelea hizo dollar zinazoingia mfukoni bila jasho
 
Samahani mkuu nngu007 umejuaje kama Mama Lowassa amelipwa kwenye hiyo safari?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kuna tatizo. Tasfiri ya haraka haraka ni kwamba kamati ya Ulinzi na mambo ya nje iko Ubalozini hapo kwa shughuli za kibunge. Kwa maneno mengine wako bungeni (sio kwenye jengo ila kwenye kazi za bunge). Sasa turudi kwenye kanuni za bunge: Ni mtu gani anayeruhusiwa kushiriki shughuli za bunge? Ref issue ya mawaziri/naibu waziri waliopishwa kwa kazi za kiwaziri kabla ya kula kiapo cha ubunge.

Mama Lowassa alikula lini kiapo cha bunge? Ameshiri kikao cha kamati ya bunge kwa kanuni ipi?
 
Ina maana Lowassa hajawahi kula kiapo cha bunge 2010?
 
Nilifikiri wenzetu waliopata bahati ya kukaa huko majuu watakuwa wamejifunza mengi hasa mambo ya mezani. Ukingalia hiyo picha kuna glass ina juice (sawa) lakini pia wameweka box la juice hapo hapo! Ni sawa na kuweza chakula mezani kikiwa kwenye sufuria? Ever heard of a juice jag wandugu?
 
" Nadhani hiki kinamtosha Mzee" ndivyo anavyoelekea kusema Mama Regina Lowassa, wakati akimsevia Mhe. Mwenyekiti mahanjumati yaliyoandaliwa na Ubalozi kwa heshima ya wanakamati na wajumbe wanaohudhuria mikutano katika Umoja wa Mataifa. Maandazi yalikuwapo na kachumbari ilikuwapo.

SIJUI JUICE JAG ni nini nimeona nikuwekee Chakula walichoandaliwa huko
 
mnachangia uzi kuhusu ziara ya kamati na lengo lake au mnachangia kwa sababu yupo huyo mama regina?? huyo si mke halali haruhusiwi kwenda nae pande za huko?? nifahamisheni tafadhali angalieni pasiwe na dalili za wivu kutoka katika mioyo yenu please.
 
Kweli, Angalia kamati yote haikubeba Wake au Waume zao ni Lowassa tu ndie aliyebeba Mke na anamparade kwenye

Kila Mikutano ili apate hiyo PER DM. Kama ni Usawa wote wangeleta Waume na Wake zao iwe kama Work Vacation

Ndio Mtindo wa CCM; ULE wakati ndio huu; sio top CREAM OF CCM ndio wanaofaidika tu na huo ULAJI kwanini

Tumuonee Wivu huyo Mama? Wangekuwa na Akili wasingepeleka kamati nzima; Wangebaki kuangalia pesa za

Kuwasaidia Madaktari lakini la Hawana Muda huo...

"Politicians are like diapers. They both need changing regularly and for the same reason"
 
Samahani mkuu nngu007 umejuaje kama Mama Lowassa amelipwa kwenye hiyo safari?

Hiyo Ndio Protocol Ukiwako kwenye Msafara wowote wa Kiserikali unalipwa hata kama wewe ni mbeba Viatu

Malipo yako yatakuwa ya hali ya JUU...

Kama wangekuwa wamekutana ndio... Lakini Jina liko kwenye Msafara; Lazima alipwe na serikali; Someni Wananchi

Wa Tanganyika muache kudanganywa na Serikali ya Chama Chenu kitukufu... JUENI MATUMIZI YA SERIKALI
 
Back
Top Bottom