Huyu mchoraji na kama kuna na wengeni ambao ni wachoraji wote huwa si wapuuzi ni watu wa maana sana na wanatufundisha au wana tupa elimu ya namna gani ya hii inchi yetu inavyo pelekwa kama ngombe na bakora yake na wazidi kuchora mi huwa na upendo nazo sana michoroo hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.