Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi 2013

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi 2013

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
2,338
Reaction score
1,128
WanaJF na hasa wachambuzi wa mambo ya siasa za vyama hapa nchini, naomba kuelimishwa ni kwanini CCM haijaunda kamati kuu mpaka sasa?

kwa uelewa wangu mdogo wa siasa ni kwamba sektretariati inapokea maagizo toka kamati kuu na kuyafanyia kazi. kwa kipindi hiki ambacho CCM haina kamati kuu Sekretarieti inafanyia kazi maagizo toka wapi na inaripoti kwa nini?

Je, kuna uwezekano wowote kuwa CCM ( na hasa mwenyekiti wake) hawataki kuunda kamati kuu kwasababu ya delay technique ya lolote?

Nawasilisha
 
Wanasubiri waone CHADEMA inaanzaje huu mwaka ukizingatia CDM imeutangaza huu mwaka kuwa ni mwaka wa NGUVU YA UMMA.
 
kwa sasa wameelemewa na masuala mazito ya kitaifa kama vile kupambana na chokochoko za udini na kuzitokomeza,kupambana na chokochoko za ukanda na kuzipunguza,kumbambana na hila za kisiasa zinazo hatarisha amani ya nchi na kuzikomesha, kushughulikia wahujumu wa uchumi kwa njia ambayo haiwezi kulitikisa taifa,na kuhakikisha walau wanasukuma mbele kidogo utekelezaji wa ilani ya chama chao.
 
Mwenyekiti alitaka apewe muda ili aweze kuchagua members wa kamati kuu ambao itakuwa rahisi kuwaburuza wakati wa kumpitisha mteule wake awe mgombea urais wa kumrithi!! He does not want to have members in the central committee who will ask him hard questions!!
 
mbona kuna thread humu inazungumzia hilo? tena nahisi imetaja na wajumbe wa kamati kuu akiwemo Asharose migiro,

mwenyekiti JK
M/mwenyekiti bara
M/mwenyekiti znz
Katibu mkuu kinana
Asharose
........
 
Hayo ni ya ccm,nauliza hivi chadema wameshatangaza ratiba ya uchaguzi kwa mwaka huu??? Baada ya kushuhudia vigogo wa ccm wakiangukia pua,kina chikawe,sumaye na wengine,sasa tunasubiri timbwili la vigogo wa cdm,huu mwaka raha sana,tunaisubiri kamati kuu mpya ya ccm,na tunasubiri baraza kuu jipya na kamati kuu mpya ya cdm.-twende kazi.
 
Kamati Kuu ina wajumbe 21,kati hao 16 wanaingia kwa nyadhifa zao,ambao wanachaguliwa ni wa 5 tu!sasa nashangaa watu 5 tu anachukua miezi 2 kuchagua?na sidhani kama hata akiremba vipi akichagua watu wake watiifu vipi kama hawana hoja nzuri kwa rais ajaye,hawana effect kubwa!
 
CCM haijatangaza kamati kuu sio kuwa haijaunda kamati kuu! Hiyo kutoitangaza ndio Delaying technique!
 
kwa sasa wameelemewa na masuala mazito ya kitaifa kama vile kupambana na chokochoko za udini na kuzitokomeza,kupambana na chokochoko za ukanda na kuzipunguza,kumbambana na hila za kisiasa zinazo hatarisha amani ya nchi na kuzikomesha, kushughulikia wahujumu wa uchumi kwa njia ambayo haiwezi kulitikisa taifa,na kuhakikisha walau wanasukuma mbele kidogo utekelezaji wa ilani ya chama chao.
What?kutokomeza udini walioanzisha......mtakoma moto alowasha baba yenu waudini ni mgumu kuzimisha wewe.......hapo napo mlimshaur vibaya eeeh....
 
Unataka kamati kuu ikusaidie nini wewe ya ccm iachie ccm achana na majungu yako ccm iko makini kuliko hivyo vyama vyenu vya mfukoni kama CHADEMA TLP CUF CHAUMA nk.
 
Unawashwa wewe unaitaka kamati kuu ya ccm inakuhusu nini ,acha umbea mtoto wa kike ,mbona nyie mliahirisha uchaguzi wenu mwaka jana hamuoni kuwa mnapaswa kushugulikia uchaguzi wenu ili mparurane huko
 
Kamati Kuu ina wajumbe 21,kati hao 16 wanaingia kwa nyadhifa zao,ambao wanachaguliwa ni wa 5 tu!sasa nashangaa watu 5 tu anachukua miezi 2 kuchagua?na sidhani kama hata akiremba vipi akichagua watu wake watiifu vipi kama hawana hoja nzuri kwa rais ajaye,hawana effect kubwa!

Acha umbea mtoto wa kike,huijui ccm ,hii inaonesha kuwa unapiga porojo ,aliyekudanganya kuwa kamati kuu inawajumbe 21 nani ? Vijana wa chadema hamko Makini mnaropoka hamjui siasa za hii nchi subirini aibu mtakayopata 2015 ndo mtajua nguvu ya ccm
 
Unawashwa wewe unaitaka kamati kuu ya ccm inakuhusu nini ,acha umbea mtoto wa kike ,mbona nyie mliahirisha uchaguzi wenu mwaka jana hamuoni kuwa mnapaswa kushugulikia uchaguzi wenu ili mparurane huko
 
Okena biri mau tuan'gwang sisiem uche !i wonder!! GOD bless cdm! Yoo!
 
Hakuna mwenye nia thabiti ndani ya ccm kuleta maisha bora kwa watz zaidi ya kuwarubuni wa muda kwani si uchaguzi wa 2014 wa serikali za mitaa na 2015 uchaguzi mkuu umekaribia? Hata hivyo watz makini washawashutukia siku nyingi sana................!
 
kwa sasa wameelemewa na masuala mazito ya kitaifa kama vile kupambana na chokochoko za udini na kuzitokomeza,kupambana na chokochoko za ukanda na kuzipunguza,kumbambana na hila za kisiasa zinazo hatarisha amani ya nchi na kuzikomesha, kushughulikia wahujumu wa uchumi kwa njia ambayo haiwezi kulitikisa taifa,na kuhakikisha walau wanasukuma mbele kidogo utekelezaji wa ilani ya chama chao.

  • Kumbe makosa ya jinai yanashughulikiwa kulingana na ilani ya chama na si katiba ya nchi!
  • Kumbe wapo wahalifu ambao wakishughulikiwa kulingana na utawala wa sheria, taifa linaweza kutikisika!
  • Kumbe ni chama cha mapinduzi ndicho kinatakiwa kupambana na wanaohatarisha amani na si serikali!
  • Kumbe chokochoko za dini, kama zipo, zinasubiri vikao vya CCM ziweze kupata ufumbuzi!
Nimekuvulia kofia betlehem, asante kwa kutupasha.
 
Last edited by a moderator:
Kamati Kuu ina wajumbe
21,kati hao 16 wanaingia kwa nyadhifa zao,ambao wanachaguliwa ni wa 5
tu!sasa nashangaa watu 5 tu anachukua miezi 2 kuchagua?na sidhani kama
hata akiremba vipi akichagua watu wake watiifu vipi kama hawana hoja
nzuri kwa rais ajaye,hawana effect kubwa!

kasome upya ulipisoma mana itakuwa ulikuwa na haraka then urudi hapa na idadi ya kweli.usidandie tren kwa mbele...
 
Unataka kamati kuu ikusaidie nini wewe ya ccm iachie ccm achana na majungu yako ccm iko makini kuliko hivyo vyama vyenu vya mfukoni kama CHADEMA TLP CUF CHAUMA nk.

We kweli kichuli kama id yako ilivyo
 
  • Kumbe makosa ya jinai yanashughulikiwa kulingana na ilani ya chama na si katiba ya nchi!; yanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.lakini ili sheria iweze kuchukua nafasi yake; ni lazma kuwe na utashi wa kisiasa.
  • Kumbe wapo wahalifu ambao wakishughulikiwa kulingana na utawala wa sheria, taifa linaweza kutikisika!;ndio.wapo wahalifu wa namna hii.
  • Kumbe ni chama cha mapinduzi ndicho kinatakiwa kupambana na wanaohatarisha amani na si serikali!;chama cha mapinduzi kama chama tawala ni lazma kiwajibike zaidi kuhakikisha mambo yote yanaenda sawia.zoezi hili ili liwe na ufanisi;ni lazma na wadau wengine wanaopenda amani na maendeleo washiriki kikamilifu katika haya.suala la amani ni letu sote lakini viongozi lazma waoneshe njia.
  • Kumbe chokochoko za dini, kama zipo, zinasubiri vikao vya CCM ziweze kupata ufumbuzi!; sio lazma vikao. ila ccm kama chama tawala kwa sasa kina wajibu mkubwa zaidi kuhakikisha kwamba chokochoko hizi zinaisha kabisa.ili hili lifanikiwe, ni lazma mimi na wewe na yule tuwaunge mkono.
Nimekuvulia kofia betlehem,(sasa vaa kofia yako mkubwa) asante kwa kutupasha.
yakupasa uelewe kuwa kwa mfumo wa kiutawala na kiuongozi wa tanzania, juu kabisa ni chama tawala (ambapo ndani yake ni viongozi wa kisiasa kama rais na mawaziri) na kisha serikali kama chombo cha utendaji.kwa hiyo maamuzi ya chama yanaweza kuathiri utendaji wa serikali kwa namna hasi au chanya.
 
Back
Top Bottom