Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi 2013

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi 2013

What?kutokomeza udini walioanzisha......mtakoma moto alowasha baba yenu waudini ni mgumu kuzimisha wewe.......hapo napo mlimshaur vibaya eeeh....
wewe fanya tu uchochezi ukidhani sifa siku ukipelekwa mabwepande usilalamikie mtu.
 
Hayo ni ya ccm,nauliza hivi chadema wameshatangaza ratiba ya uchaguzi kwa mwaka huu??? Baada ya kushuhudia vigogo wa ccm wakiangukia pua,kina chikawe,sumaye na wengine,sasa tunasubiri timbwili la vigogo wa cdm,huu mwaka raha sana,tunaisubiri kamati kuu mpya ya ccm,na tunasubiri baraza kuu jipya na kamati kuu mpya ya cdm.-twende kazi.

Vigogo Chadema wakiona wamebanwa koo hukumbilia kwa mzee mtei awazuie vijana wasigombe au husema rushwa imetumika na kuvunja uchaguzi wanajipanga upya!
 
Ridhiwani na mama salma wakiikamilisha itatangazwa, kuweni na subira.
 
Back
Top Bottom