Kamati Kuu ya Chadema yakutana leo Tarehe 11/05/2024 Dar es Salaam

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi .

Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za Kanda ambako Majina ya Wagombea yatapokelewa na kujadiliwa, bila ya shaka wako watakaochujwa.

Bali jambo kubwa linalosubiriwa ni DIRA YA TAIFA ITAKAYOTOLEWA NA CHAMA HICHO , ambacho sasa ni dhahiri kinaominiwa na Wananchi wote.

Awali ni Vigogo wa Chama wakiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es salaam

View attachment 2987774View attachment 2987775View attachment 2987776

Usiondoke JF kwa Taarifa muhimu sana kuhusu kikao hiki
Hicho ni kikundi cha Saccos kinatuhusu nini.
 
Mbona Makamu chair-owner hana jezi
 
CHADEMA wakijipanga vizuri na kuwa na hoja zitakazokubaliwa na wananchi watachukua viti vingi katika chaguzi zinazokuja.
 
Screenshot_2024-05-11-16-53-48-1.png
 
Hivi lisu huwa anatombaje jamani na huo mguu ulivyo. Au wamevumialiana tu
Unataka kujua mwanaume anatombaje halafu unauliza mtandaoni? Mpelekee huo mkundu umuulize kwa vitendo kisha majibu ya swali lako akayokupatia ubaki nayo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom