Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,069
- 221,747
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Vigogo wa Chadema wako ndani ya Kikao kizito muda huu wakijadili masuala mbali mbali, ukiwemo mustakhabari wa Nchi .
Miongoni mwa Ajenda ni kuhusu Chaguzi za Kanda ambako Majina ya Wagombea yatapokelewa na kujadiliwa, bila ya shaka wako watakaochujwa.
Bali jambo kubwa linalosubiriwa ni DIRA YA TAIFA ITAKAYOTOLEWA NA CHAMA HICHO , ambacho sasa ni dhahiri kinaominiwa na Wananchi wote.
Awali ni Vigogo wa Chama wakiwasili kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es salaam
Usiondoke JF kwa Taarifa muhimu sana kuhusu kikao hiki