Huo mfano wako wa fomula ni irrelevant una maana usipojua fomula ndio usifanye mtihani unaweza ku struggle usiku na mchana still fomula usielewe lakini at the end of the day lazima uingie kwenye mtihani.Mkuu,
hawa watu wanaharibu kwa kukosa maarifa.
haiwezekani unajua kabisa swali flani formula yake ni xxxx alafu unaingia
kwenye mtihani bila kuifanyia kazi hiyo formula,.....
ukifeli una lalamika kuonewa na mwalimu.
Umeongea vema mkuu..........vyama vingi vimeweza kuweka vitengo mbali mbali lakini tatizo ni kuwa hakuna chama chochote katika Tanzania walioweka kamati ya uchaguzi ambayo ni endelevu wakati wote, vingi vinaunda kitendo hiki kwenye chaguzi tu, na hili ni kosa kubwa litaloendelea kuvigharimu vyama vya siasa.
chama chochote kinachohitaji ushindi ni lazima kiwe na kitengo kinachoshughulika na uchakuzi siku zote na kiwe macho wakati wote na kifanye tathmini wakati wote na tafiti maeneo yote ili chama kijue kwanini kimeshinda jimbo fulani na kwanini kimepoteza jimbo fulani
ukifanya uchunguzi kwanini umepoteza jimbo ukaacha kwanini umeshinda jimbo fulani basi umepoteza 50% ya mipango ya baadae
Mkuu,
hawa watu wanaharibu kwa kukosa maarifa.
haiwezekani unajua kabisa swali flani formula yake ni xxxx alafu unaingia
kwenye mtihani bila kuifanyia kazi hiyo formula,.....
ukifeli una lalamika kuonewa na mwalimu.
Huo mfano wako wa fomula ni irrelevant una maana usipojua fomula ndio usifanye mtihani unaweza ku struggle usiku na mchana still fomula usielewe lakini at the end of the day lazima uingie kwenye mtihani.
Kwenye siasa ni ndoto kusubiri kila kitu kiwe sawa au kitayarishwe na chama tawala then uitwe njoo sasa tumeshabadilisha, you have to fight and struggle for it, sometimes force things to happen don't wait things to happen.
Chadema ni zimamoto sana, wanasubiri mpaka uchaguzi utangazwe ndiyo wanaanza harakati. Kinachotokea ni kushindwa vibaya na kuilaumu CCM wameiba kura, kumbe wenzao wamejipanga. Chacha Wangwe alikuwa na mikakati mzuri wa kujenga chama kuanzia shinani. Inashangaza, chama kikubwa cha upinzani kinakosa ofisi maeneo makubwa kama Gairo, Newala, Kibaigwa, Kinesi, Silari, Kimamba, Mafinga, Ubaruku, Kondoa, Kwamafunchi, Tandahimba n.k halafu eti kina ndoto ya kuchukua nchi. Wapiga kura wanatoka chini na ni lazima mtumie hela za ruzuku kuimarisha chama chenu angalau mtalingana na CCM
Kolimba alikuwa na mikakati mizuri ya kukijenga chama masikini akambulia kuondolewa sauti sasa mmeanza kuvuana bukta wenyewe tuone mtaishia wapi bado siku 10 ila kwa Lowassa havuliwi mtu pale.Chadema ni zimamoto sana, wanasubiri mpaka uchaguzi utangazwe ndiyo wanaanza harakati. Kinachotokea ni kushindwa vibaya na kuilaumu CCM wameiba kura, kumbe wenzao wamejipanga. Chacha Wangwe alikuwa na mikakati mzuri wa kujenga chama kuanzia shinani. Inashangaza, chama kikubwa cha upinzani kinakosa ofisi maeneo makubwa kama Gairo, Newala, Kibaigwa, Kinesi, Silari, Kimamba, Mafinga, Ubaruku, Kondoa, Kwamafunchi, Tandahimba n.k halafu eti kina ndoto ya kuchukua nchi. Wapiga kura wanatoka chini na ni lazima mtumie hela za ruzuku kuimarisha chama chenu angalau mtalingana na CCM
Am afraid my friend you are going too low .........Waitara hakuna anafanya,ni pombe pombe na kujikojolea kila sehem,...ndivo anavo ijenga chadema
tarime,...afu wanategemea kuja kushinda huku?
Kamati Kuu ya CHADEMA inatajiwa kufanya kikao chake kesho katika jimbo la Igunga.Kikao hicho ni maalum kwaajili ya kupitisha jina la mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kuanza tarehe 7 Sept 2011. Vile vile kikao hicho kinatrajiwa kupitisha mkakati na bajeti ya uchaguzi huo katika kuhakikisha kuwa jimbo hili linachukuliwa na CHADEMA.Dalili zote za awali zinaonesha kuwa jimbo hili kuchukuliwa na CHADEMA.Kutoka njiani Manyoni tukiwa tunaelekea Igunga.Nawasilisha.
Speaker vita kubwa ni ya 'generation' na kwa bahati mbaya ccm hawajaelewa wanafikiri wanapambana na cdm ila ukweli ni kizazi kipya kinataka kuchukua majukumu ya kiutawala.I love this about JF,kila anae leta argument kuhusu chadema
huyo ni mwana CCM,CUF etc,.....mimi ni mwanachama na shabiki wa TANZANIA
sina chama chochote!!!
Chadema ni zimamoto sana, wanasubiri mpaka uchaguzi utangazwe ndiyo wanaanza harakati.
I am a critic with positive vision.hiyo RED kama ingekuwa kweli ninaimani ungekuwa na furaha maana una mapenzi na CHADEMA sasa iweje unataka chadema hisiwe zimamoto ili kushinda chama chako
Mgombea wa chadema ni mwl. Joseph Kashindye.Wakuu, tujulisheni maamuzi ya cc ya chadema, juu ya maamuzi ya mgombea na budget, please Regia and otherz we need to knw as wakati mnaenda! Thanx... Who knwz?
Ni jambo zuri je anakubalka au mmetoa muwakilishi da REGIA hili linahitaji maelezo na ushuhuda wa picha kutoka kwa makamanda wenzetu vijana waliotangulia.Mwl Joseph Mwandu Kashindye kuipeperusha bendera ya CHADEMA Igunga.Kamati Kuu imempitisha. Kila la heri Kamanda.
WEWE Regia mTema umechanganyikiwa, Igunga utaisikia hewani na usizani kelelel za chura zinamzuia mbuzi kunywa maji.Igunga itabaki kuwa jimbo la ccm na kama kutoka kwa rostam kumewafanya mzani jimbo liko wazi mmechelewa jimbo linawenyewe.