Acha kutupuuza wewe, tumechangia sana kwenye kapu lao ambalo walikuwa wakilitembeza wakati wa mikutano ya hadhara tuna haki ya kujua matumizi yake.
Elewa JK ni rais wa nchi na anawajibika kwa kila mtanzania akiwa ni rais wa nchi,lakini mambo ya CHADEMA ni kwa wana CHADEMA tu,sasa kama yeye ana maswali kwa kamati kuu ya CHADEMA,sisi wengine tusio na chama yanatusaidia nini? kitu kikubwa aulize maswali yanayotuhusu watu wote tusio na walio na vyama,kwa mfano ratiba ya uandikishwaji katika daftrari la kudumu la wapiga KURA kwa nchi nzima itatolewa lini? na mengine mengi..Usifikiri kila mtu anayekataa utumbo wake mtoa mada ni mwanachadema!!!
hivi hujui CDM inaendeshwa na kodi zetu wa TZ kupitia ruzuku ya kila mwezi?
Unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili?
Wakati watoto wenu wanapata UTI kwa kunya hovyo ninyi wazazi wao mnashindana kunywa pombe na kununua magari ya kifahari!Hayo majimbo mengi siyajui lkn ubungo, usitudanganye bado wanafunzi wanakaa chini, maji machafu kuliko hayo ya chalinze uyoyasema.
Halaf hivyo vyoo vya shule za ubungo umeviona vimejaa kinyesi watoto wetu wanapata UTI, siku wakati hao unosema wanakunywa polini UTI, hamna.
Sawa inapata ruzuku,ila unadhani hapa JF ndio kwa kuulizia maswali yanahusu matumizi ya hiyo ruzuku?? Kazi ya ofisi ni nini? kama huwezi kwenda ofisi ya CHADEMA nenda kwa CAG basi,shida ya watu wengi wenye mawazo mgando wanachukulia mitandao ya kijamii ni kama mahakama zao maana kila kitu wanataka wapate majibu kwenye mitandao.Mwisho utakuja kugoogle mimba utapata lini au kuuliza hapa JF.!! Watch out.!! Nenda sehemu husika upate majibu sahihi..!
chadema mna tabu sana mbona mnapouliza mambo ya JK, mnajibiwa niyi kuulizwa mfanyanini katika majimbo ulishinda na kata mnajibu mitusi, kweli nyie mna laana ya marehem
we dada ni mshenzi sana yaan unakataza mtu kuuliza maswali kwa chama kinachotumia ruzuku zetu,unajisahailisha kua sisi Kama walipa kodi tunapaswa kujua kodi zetu zinatumika vipi,hizo unazoziita ofic za chama ziko wap hebu nitajie mikoa 8 yenye ofic kila jimbo,na tukienda wote pale ufipa hali itakuaje?lakin pia kuna umuhimu gan kwa viongoz wa chama ambao wamo humu kuendelea kuwepo?nyie bavicha ni lini akili zenu zitajitegemea?mbona taifa hili limejaa shule/vyuo vingi sana, mnauzi kwa kwel aaaah
wakati wa kikao cha halmashauri kuu cha chadema kikiendelea ni vema wakatupatia majimu haya
1) chadema iliahidi kuwasaidia watoto wa Mwagosi pamoja na mkewe watupe feed back kama hilo zoezi linaendelea au ilikuwa mbwembwe tu
2) watupe mahesabu ya kuanzia mwaka 2010 baada ya uchaguzi na mpaka sasa, mapato na matumizi,
3) kwanini chadema kimekuwa chama cha vurugu na maandamano ambayo husababisha watu kupoteza maisha na wengine kupata vilema vya kudumu halafu chama hakiwasaidii, akiwemo yule kijana aliyekufa morogoro familia yake inateseka kutoka na kijana wao kupoteza maisha na ndiye aliyekuwa tegemeo lao.
4) kwannii maandamno huwa hayafanyiki Kilimanjaro yanafanyika sehemu nyingine kama Aryusha, Morogoro, Iringa na sehemu zingine.
5) mwisho watueleze mafanikio ya majimbo yao yote ya uchaguzi pamoja na kata zao walizoshinda katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010,
Bila kusahau vile visima vya SABODO, tunajua pesa mzee alitoa.
Acha kutupuuza wewe, tumechangia sana kwenye kapu lao ambalo walikuwa wakilitembeza wakati wa mikutano ya hadhara tuna haki ya kujua matumizi yake.
Wewe Ninani Mpaka Upewe Hesabu Za Mapato Na Matumizi? Ulichangia Kias Gani? Je? Wewe Ndio Msemaji Wa Hizo Familia, Kadi Yako Ya Chadema Ni Namba Ngapi? Je? Unaifaham Katiba Ya Chama? Kabla Haujajibiwa Nijibu Kwanza Haya Maswali Machache Na Mepes Alafu Nitakujibu Maswali Yako.
Sijakupuuzeni Ninachotaka Kujua Ni Hicho Nilichokiandika Ili Nijue Nazungumza Na Nani, Kama Ww Ulichangia Kwenye Kapu, Hizo Haziitaji Maswali, Hizo Zinaeleweka Kwa Ukipigwa Mkutano Mologolo, Hao Wanachangia Pesa Za Mafuta Kuwezasha Mkutano Unaofuata, Au Ulisikia Walisema Wakitoka Mbeya Wanakwenda Sumbawanga Wanaomba Mchango Wa Mafuta Mkatoa Alafu Hawakuenda Huko Walikosema?