Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

Kwa mtazamo wangu, dr tulia haliwezi hlo bunge kutokana na changamoto zake,

Ikiwa tu makinda aliyumba na alikuwa na watu wachache, je huyu?? Ifike mahari tujue kuwa tunahitaji a man, ambae atakuwa hana mihamko, mwenye kujua utaratib wa bunge hasa changamoto za wapinzani..

Kitu ambacho sasa inabidi nchi ibadikike ni kuwa na viongozi wa umma ambao ni wanachama wa chama fulan, haina tofaut na mwanasiasa kuwa mfanya biashara, kutakuwa na mwingilio wa kimasilahi...
 
Habari wana J.f
Baada ya kutoka majina matatu ndani ya ccm ya kugombea uspeaker nilichogundua Ukawa wanajifanya wanataka speaker awe dr Tulia Ackson ili wasibanwe na kutolewa nje na ndugai.
Aisee Mmechemsha mwaka huu
 
Unaumwa wewe wamuogope kwa lipi ? Ile mi hasira yake yakipuuz akishikwa? Hakuna kitu kma hicho
 
Na yule mtoto wa mwinyi unafikiri ataachwa, hiyo iliwezekana kigamboni tu, wakati mtoto wake alivyobwagwa bila huruma kwenye kura za maoni. Unaonekana huna vision
 
Ndugai akiacha viroba atakuwa spika bora angalau kwa chama chake tu,ila akishapiga valuu huwa anakuwa kama limtambo flani.
 
Habari wana J.f
Baada ya kutoka majina matatu ndani ya ccm ya kugombea uspeaker nilichogundua Ukawa wanajifanya wanataka speaker awe dr Tulia Ackson ili wasibanwe na kutolewa nje na ndugai.
Aisee Mmechemsha mwaka huu

Yeyote wa ukawa akimpigia Dr. Tulia kura ya hasira basi ajue yatamkuta yaliyowakuta Timu Lowassa baada ya kumpigia kura Magufuli.
Kichapo chake hakiwezi kupoa hivi karibuni.
 
.....ni kigogo yupi huyo anaepiga dudu mkuu??....naona pia kwenye list kuna jina la mtoto wa Mzee mwinyi....awa jamaa bado wanaendeleza "nepotism"pamoja na kupigiwa kelele mno kwenye utawala ulioondoka....Ngoja tusubiri uteuzi wa mawaziri....kuona pia ni watoto gani wa vigogo watakuwemo....hawa ccm na 'nepotism' imekua ni gonjwa lisilopona...

Kwa nn? Usishangae viti maalum vya ukawa ndugu
 
Ili Rais Dr JPMAGUFULI afanikiwa katika azma yake ya kuleta uadilifu serikalini bunge la 11 linatakawa Kamsaidia kikamilifu. Kwa hiyo ni vena liwe na spika mwenye ujuzi na weledi wa sheria na asiye na kasumba na ukakasi wa bunge lililopita. Nina imani ukawa pia watampa kura nyingi dada Dr Tulia Atsob.


Naona matumbo joto sana, mkwere anaweweseka vobaya mnoo!!!

Hapo spika ni Ndugai, taka usitakeeee
 
Apimwe kutokana na uwepo wake kwenye Bunge la Katiba....kura yangu kwake ni..HAFAI KABISA AKAE MBALI NA MJENGO.
 
Back
Top Bottom