Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

Mlishabikia hapa kazi tu sasa kilio cha nini?Umesahau CCM ni ileile na ina wenyewe?
 
Ili Rais Dr JPMAGUFULI afanikiwa katika azma yake ya kuleta uadilifu serikalini bunge la 11 linatakawa Kamsaidia kikamilifu. Kwa hiyo ni vena liwe na spika mwenye ujuzi na weledi wa sheria na asiye na kasumba na ukakasi wa bunge lililopita. Nina imani ukawa pia watampa kura nyingi dada Dr Tulia Atsob.
 
Wkt wa kinyang'anyiro cha urais akakatwa kisha akachukilia poa, akakatwa Lowassa akafurahi. Sasa nae kakatwa tena kwenye Uspika, tuone atafanya nn.
 
UKAWA sijui ambacho mnachekelea hapa ni nini!?!

Sitta ndio angekuwa salama yenu Bungeni. Sasa kukatwa kwake ilibidi iwe kilio chenu. Nyinyi mnamdhihaki!

Sasa kwa taarifa tu ni kwamba, wabunge wa CCM wanamtaka Job Ndungai kukalia kiti. Na huyo jamaa UKAWA mnamjua vizuri. Huyo dada aliwekwa makusudi ili kuleta tu ushindani, lakini hata afikiriwi kuwa spika na mbunge hata mmoja wa CCM....labda atapata kura za UKAWA (ikiwa watapiga hizo kura).

Ndugai ni msaidizi wa karibu wa Lowasa..hilo linajulikana wazi
 
Ili Rais Dr JPMAGUFULI afanikiwa katika azma yake ya kuleta uadilifu serikalini bunge la 11 linatakawa Kamsaidia kikamilifu. Kwa hiyo ni vena liwe na spika mwenye ujuzi na weledi wa sheria na asiye na kasumba na ukakasi wa bunge lililopita. Nina imani ukawa pia watampa kura nyingi dada Dr Tulia Atsob.

Baada ya mafyongo ya Makinda sidhani kama watarudia kosa lingine,women are too sensitive to be the leaders!
 
napenda nieleweke kuwa uongozwa na mwanamke ni ujinga,biblia inatanabaisha mambo ya wanawake,hafai hata kidogo akalee watoto na familia uyo
Kwa hiyo mama yako mzazi hafai hata kidogo.kakuongoza na kukusimamia hadi unapata ujasiri wa kijificha nyuma ya keyboard na kumtukana
 
Spika atapatikana kwa kupigiwa kura na wabunge ambao wengi wao ni wa CCM. Sasa sijui ni mbunge gani wa CCM anamjua huyo Dr Tuli wako. Siasa za CCM wewe huzijui! Sababu ya kuweka hao watu wasio julikana kwenye siasa za CCM ni ili kumfanyia Ndungai apite kirahisi. Hii ni kama ile ya kumtafuta mgombea urais kwenye mkutano wetu mkuu wa CCM. Waliwekwa wakina mama ili kumrahisishia kazi Dkt Magufuli. Vivyo hivyo katika nafasi ya uspika.

Wabunge wa CCM hawawezi hata siku moja kumpa kura mtu ambae sio mwenzao...kwa maneno mengine mtu ambae hakupita majimboni kuomba kura ya kuutafuta ubunge. Hii ndio CCM. CCM ni ile ile.

Spika atakuwa Job Ndungai. Period.

Hapo umeongea ki ccm
Je wale wa viti maalum?
 
Amepangua kesi nzito ya mita 200 kwa masaa mawili tu akiwaacha hoi kina profesa safari na kibatala na mbwembwe zao.uanasheria ni fani sio kama kuchunga ng'ombe mkuu

amepangua kesi kwa maslahi ya chama chake ccm, sheria hajui chochote
 
Back
Top Bottom