Lowassa anaelekea kwenye kapu la historia. Sidhani kama anao ujasiri wa kujiunga na chama cha upinzani (most likely CHADEMA). Lakini akifanya hivyo kuna kila dalili akakisumbua sana CCM kule Monduli kama ilivyo kwa Slaa hivi sasa. Je CHADEMA wako tayari kumpokea? Watawaeleza nini wananchi?
Ni jambo la kusubiri na kuona!
Huu mtego naona wala haunasi.. ni kama mtego wa bui bui ambao unashindwa kunasa hata nzi!
Daah! Mkuu uliona mbali...ESP hapo kwa RA, Karamagi.As I noted in one of my posts,one of EL's chronic problems is putting emotions infront of common sense.Huyu jamaa kwa "kuwaka" hajambo.Ni kama anam-underestaimate kila mtu.Pengine ni jeuri ya fedha,pengine ni obsession yake na kumrithi JK.
Only way to control this unguided missile ni kwa JK kuweka urafiki (kama bado upo) kando,na kumvaa mshkaji wake kwamba spidi yake ya 240 kwenye wrong lane itapelekea ajali.Nadhani kuna kila dalili ya EL kuja na "mtandao mpya" utakaojumuisha RA,Karamagi na mafisadi wengine.
JK,you have been warned!
As I noted in one of my posts,one of EL's chronic problems is putting emotions infront of common sense.Huyu jamaa kwa "kuwaka" hajambo.Ni kama anam-underestaimate kila mtu.Pengine ni jeuri ya fedha,pengine ni obsession yake na kumrithi JK.