assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Ni wazi kamati kuu ndani ya CCM ikiwa chini ya Jakaya Kikwete haina furaha, siamini hii kamati haijui role ya hawa wafanyabiashara wakwepa kodi, hapa tunapigwa changa la macho CCM inatumia mabilioni kwenye kumweka Rais na wabunge hivi unadhani zinatoka wapi? inaitwa give &return.
Sasa mh Magufuli sidhani kama hajui haya, kiukweli ana display udhaifu wa kamati kuu chini ya Kikwete.
Kamati kuu CCM haina furaha.
Mfano; " kunawatu wanamsingizia hata mwanangu juu MTU kukwepa kodi, hizo ni siasa za majitaka za wapinzani, wamwache Magufuli afanye kazi"" by Kikwete.
Pia kamati kuonya mh asichukue hatua kwa majungu afanye uchunguzi kabla jipu kutumbuliwa.
Argue, don't shout!