Kamati kuu ya CCM haina furaha

Kamati kuu ya CCM haina furaha

Hiv wewe ni mkenya?......maana hicho kiswahili chako?..... hiv kuna mtz anasemaga "Juu" akimaanisha neno sababu?.........

kama ni kweli achana na hizo porojo.........mahufuli hajuti na wala hiyo kamat kuu.......hao matajiri waneshafaidika saana na hiyo kamat kuu.....hamna cha wao kujuta katika hili la prof magu

mahufuli ndio nani?
 
Hauna fukuto lolote
Naona unatetea tu hata kitu kama hakina mantiki yoyote, wee umo tuu..
Kuna fursa naona uliitegemea kwenye utawala huu halafu ndio umeikosa sasa...
Utaishia kujikomba komba hapo Lumumba mpaka siku unavalishwa sanda...
Hopeless kabisa.
 
Hata alichosema Nape uzi ni kama kumponda Magufuli na 'hapa kazi tu'
alisema kama wafanyakazi hawapewi vifaa vya kazi huwezi kusema tu hapa kazi tu

Mkuu The boss umewahi ona wapi kinyago uchonge mwenyewe halafu kikutishe? CC ya ccm haiwezi kutishwa na kinyago chake yenyewe.
 
Mkuu The boss umewahi ona wapi kinyago uchonge mwenyewe halafu kikutishe? CC ya ccm haiwezi kutishwa na kinyago chake yenyewe.
hapo sasa yaani mtu huwezi kuongoza kwa amani kama kuna wanao kupumulia kisogoni another lost decade to come
 
Maccm aka magambaz are stuck between a rock and a hard place! Wakimbana sana JPM; "wataumia"! Na wakimuachia sana wataendelea kuumia! Wanavuna walichopanda; wengi wao akiwemo Kikwete watakuwa wanajuta kumtosa Lowassa! angewauma na kupuliza kwa sababu ametoka nao mbali! Kazi kwao.
nani? tafadhali jitemee mate kitovuni!
 
Wakati wa Kenyatta kulikuwa na mtu very powerfull anaitwa Njonjo....
huyo aliwahi mzaba vibao makamu wa Rais Daniel Arap Moi...
na alijua Moi hata akiwa Rais ataendelea tu kuwa na nguvu....

baba yake alimwambia hebu jaribu kumpa paka kipande cha nyama halafu jaribu kumnyan'ganya...


Kamati kuu sasa na wao wajaribu hilo kama wanafikiri wataweza......

Unalosema ni kweli. Rais ana nguvu sana hata hivyo siyo wote wanachukia JPM. Wengine watakua wanafurahia hii ngoma maana inamrudi mwenyekiti wa chama. Ukumbuke kamati kuu wengi walikuwaa team Lowasa na hawakupendezwa na aliyofanya mwenyekiti wao.
 
five years only enough for Mh.Magu! ! we re going to see amazing actions.
 
Ni wazi kamati kuu ndani ya CCM ikiwa chini ya Jakaya Kikwete haina furaha, siamini hii kamati haijui role ya hawa wafanyabiashara wakwepa kodi, hapa tunapigwa changa la macho CCM inatumia mabilioni kwenye kumweka Rais na wabunge hivi unadhani zinatoka wapi? inaitwa give &return.

Sasa mh Magufuli sidhani kama hajui haya, kiukweli ana display udhaifu wa kamati kuu chini ya Kikwete.

Kamati kuu CCM haina furaha.

Mfano; " kunawatu wanamsingizia hata mwanangu juu MTU kukwepa kodi, hizo ni siasa za majitaka za wapinzani, wamwache Magufuli afanye kazi"" by Kikwete.

Pia kamati kuonya mh asichukue hatua kwa majungu afanye uchunguzi kabla jipu kutumbuliwa.
Argue, don't shout!
kuna taarifa mwezi huu makusanyo ni trillioni moja na billioni 300, just imagine mzee wa msoga alikuwa anatamba kukusanya bilioni 900, kumbe anatupiga zaidi ya nusu trilioni kila mwezi, mlafi mkubwa naomba tezi dume lifanye kazi
 
Back
Top Bottom