kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Sasa umefaidika mini na huo uzushi wako wewe na RFA yako maana CC imemalizika na Ngayai hajakatwa Jina na anazidi kuchanja mbugaKufuatia kikao cha Kamati Kuu ya CCM kinachofanyika huko Zanzibar, kuna uwezekano mkubwa jina la Lowassa likakatwa kutoka kwenye orodha ya wanaCCM watakaopeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015. Hii ni kwa sababu baada ya yeye na makada wengine kufungiwa kwa muda wa mwaka mmoja kwa sababu ya kuanza "mbio" mapema, bado aliendelea kujifanyia kampeni kama kawaida.
Chanzo: RFA
:israel:
ni wajinga aslimia sifurihivi watanzania ni wajinga kiasi gani mpaka wampe slaa urais??????
lowasa akiondolewaa kwenye chama najiuaaa hiyo n kitu kisichowezekanaaa
KATIKA MIAKA YOTE HIYO ALIYOKUWA KIONGOZI NDUGU LOWASA , AMEFANYA NINI CHA KUPIGIWA MFANO ? AU UmEAMUA KUJIDHALILISHA TU ?
Aliyofanya yako Wazi! Wala siyahitaji kuyaorodhesha hapa. Hata nyimbo zimesha tungwa kuhusu alofanya ndugu Lowassa. Kwa vile wewe ni mvivu wakusoma naomba utafute zile nyimbo usikilize!
Kama ufisadi watanzania wote ni mafisadi. Tunazidiana viwango tu. Mwenye ufisadi usiolipa sana anamwonea wivu mwenye ufisadi wenye tija. Kwani Mtanzania inakuwaje anaweza kuishi kwa mshahara chini ya laki Tano kwa mwezi, yeye na familia ya watu SITA tu ya kisheria, katika bei juu kwa kila unachokigusa,nauli za daladala zilizopo, decently ukapeleka watoto shuleni msingi, sekondari na vyuo wakati huo unalisha waliomo ndani ya nyumba yako wajomba na shangazi na uwapelekee wazazi wenu wa kikke na kiume mahitaji ya lazima, usisahau bili za kila mwezi za maji na umeme na mawasiliano mpaka whatsapp? kama wewe sio fisadi sema sasa, unaishije na kwa mshahara huo unaweza kulipa pango la nyumba kila mwezi na pia nakuona uko nadhifu sana unaogea sabuni na kupaka mafuta nywele zako? Sema sasa....Ammmah! Si useme tu? Lowasa....Lowasa....kila kukicha, Lowasa.....Kumbe kweli nyani haoni masaburi yake. Na huyo nyumba ndogo yako unaranda bure hata soda au maji uhai humpi?atang'oka tu ccm hatuwezi kumsimamisha fisadi,aende huko ukawa kwa wakaskazini wenzake na mapadri,halafu hao wasijisumbue ccm tuna historia ya kusimamisha wagombea wasio na kashfa ya ufisadi na wenye uzoefu kwenye international relation nadhani wenye akili wamenielewa
Aliyofanya yako Wazi! Wala siyahitaji kuyaorodhesha hapa. Hata nyimbo zimesha tungwa kuhusu alofanya ndugu Lowassa. Kwa vile wewe ni mvivu wakusoma naomba utafute zile nyimbo usikilize!
Aliyofanya yako Wazi! Wala siyahitaji kuyaorodhesha hapa. Hata nyimbo zimesha tungwa kuhusu alofanya ndugu Lowassa. Kwa vile wewe ni mvivu wakusoma naomba utafute zile nyimbo usikilize!
Kama ufisadi watanzania wote ni mafisadi. Tunazidiana viwango tu. Mwenye ufisadi usiolipa sana anamwonea wivu mwenye ufisadi wenye tija. Kwani Mtanzania inakuwaje anaweza kuishi kwa mshahara chini ya laki Tano kwa mwezi, yeye na familia ya watu SITA tu ya kisheria, katika bei juu kwa kila unachokigusa,nauli za daladala zilizopo, decently ukapeleka watoto shuleni msingi, sekondari na vyuo wakati huo unalisha waliomo ndani ya nyumba yako wajomba na shangazi na uwapelekee wazazi wenu wa kikke na kiume mahitaji ya lazima, usisahau bili za kila mwezi za maji na umeme na mawasiliano mpaka whatsapp? kama wewe sio fisadi sema sasa, unaishije na kwa mshahara huo unaweza kulipa pango la nyumba kila mwezi na pia nakuona uko nadhifu sana unaogea sabuni na kupaka mafuta nywele zako? Sema sasa....Ammmah! Si useme tu? Lowasa....Lowasa....kila kukicha, Lowasa.....Kumbe kweli nyani haoni masaburi yake. Na huyo nyumba ndogo yako unaranda bure hata soda au maji uhai humpi?
Acha ushororo wewe, Lowasa kama alivyo binadamu yeyote anazo kasoro zake lakini uzalendo anao. Leo hii sema kama Shinyanga wangepata maji kutoka ziwa Victoria kwa hofu ya mikataba ya kikoloni kuzuia Tanzania iniwape watu wake maji ili Farao amwagilie maua yake? Kwa hiyo unataka nani agombee uraisi wakati wewe umedwarf?
Kama umekubali kuwa mimi name ni mtanzania basi tayari umekubali kwamba mimi name ni fisadi. By definition hata hao TAKUKURU kama ni watanzania pia ni MAFISADI TU! Hajapona hata mmoja. Tusinyoosheane kidole bali tuangalie vidole vitatu vinaaelekewa kwa nani. Wakija kwangu hao maana yake tutakuwa tunachunguzana levels of corruption each one of us has. KWISHA? Viwango vya ufisadi wa Mtanzania vinazidiana lakini wote wote wote ni mafisadi tu! Ukitaka kupona ukane utanzania wako.kwa hiyo unatutangazia kwamba wewe ni FISADI? ngoja niwatonye TAKUKURU waje kukubeba. halafu unavyoandika utadhani unatunga mashairi ya rusharoho!
Kama umekubali kuwa mimi name ni mtanzania basi tayari umekubali kwamba mimi name ni fisadi. By definition hata hao TAKUKURU kama ni watanzania pia ni MAFISADI TU! Hajapona hata mmoja. Tusinyoosheane kidole bali tuangalie vidole vitatu vinaaelekewa kwa nani. Wakija kwangu hao maana yake tutakuwa tunachunguzana levels of corruption each one of us has. KWISHA? Viwango vya ufisadi wa Mtanzania vinazidiana lakini wote wote wote ni mafisadi tu! Ukitaka kupona ukane utanzania wako.
kwa hiyo unatutangazia kwamba wewe ni FISADI? ngoja niwatonye TAKUKURU waje kukubeba. halafu unavyoandika utadhani unatunga mashairi ya rusharoho!
Kama ufisadi watanzania wote ni mafisadi. Tunazidiana viwango tu. Mwenye ufisadi usiolipa sana anamwonea wivu mwenye ufisadi wenye tija. Kwani Mtanzania inakuwaje anaweza kuishi kwa mshahara chini ya laki Tano kwa mwezi, yeye na familia ya watu SITA tu ya kisheria, katika bei juu kwa kila unachokigusa,nauli za daladala zilizopo, decently ukapeleka watoto shuleni msingi, sekondari na vyuo wakati huo unalisha waliomo ndani ya nyumba yako wajomba na shangazi na uwapelekee wazazi wenu wa kikke na kiume mahitaji ya lazima, usisahau bili za kila mwezi za maji na umeme na mawasiliano mpaka whatsapp? kama wewe sio fisadi sema sasa, unaishije na kwa mshahara huo unaweza kulipa pango la nyumba kila mwezi na pia nakuona uko nadhifu sana unaogea sabuni na kupaka mafuta nywele zako? Sema sasa....Ammmah! Si useme tu? Lowasa....Lowasa....kila kukicha, Lowasa.....Kumbe kweli nyani haoni masaburi yake. Na huyo nyumba ndogo yako unaranda bure hata soda au maji uhai humpi?
Acha ushororo wewe, Lowasa kama alivyo binadamu yeyote anazo kasoro zake lakini uzalendo anao. Leo hii sema kama Shinyanga wangepata maji kutoka ziwa Victoria kwa hofu ya mikataba ya kikoloni kuzuia Tanzania iniwape watu wake maji ili Farao amwagilie maua yake? Kwa hiyo unataka nani agombee uraisi wakati wewe umedwarf?
Safi sana. Nini kifanyike ndilo swali muhimu hapa kama tunataka kujikomboa. Tunaenda kwenye uchaguzi wa viongozi. Kwanza watanzania tujitambue kwamba ufisadi sio sera ya kuwaendeleza watu wengi na sio sera ya Mwalimu Nyerere, imezaliwa Zanzibar baada ya kuua kabisa miiko ya uongozi ambapo aliyenacho anajiongezea wakati asiyenacho hata kidogo alichonacho ananyang'anywa. Tukijitambua tunajipanga kujikomboa. Msingi bora wa uongozi wa viongozi wetu uwe wananchi wenyewe ndo washike hatamu. Tufike mahali kwamba tunawaambia wanaotaka kutuongoza, kwamba tunataka 1,2,3,4,5.....yafanyike ndani ya miaka mitano kwa kuanzia na 1, kasha 2, kasha 3....wanapewa na muda wa kutimiza vipaumbele vyetu. Kwamba atakayeona hawezi anapigwa chini wakati wowote. Tukatae kuhongwa khanga na kofia na t-shirts na sigara. Msingi huo upo kwenye KATIBA iliyo wazi na iliyotungwa na sisi wenyewe kwa mtiririko tuutakao sisi kwa kuamini kwamba itatuongoza vizuri.kwa hiyo wewe unashuri nini kifanyike ili kuondoa janga la UFISADI katika taifa hili masikini na ombaomba? au unataka wale wenye ufisadi mogo wajitume kufanya ufisadi kwa bidii ili wapunguze malalamiko na waache kuwasakama mafisadi papa? maana naona kama bado sijakuelewa vile.
teh teh teh teh teeeeeeh Nilikuwa namsemea mtu anayedaiwa analipwa vizuri zaidi mkuu, pole kwa hasira hiyo, najua kuna walio wengi ambao hata hiyo 120,000/- hawajawahi kuishika, hawajui hata 20,000 waipateje kupeleka watoto shule na wanapoomba huruma wanaambiwa BORA WASIZAE. Nilitarajia swali lako litakuja tu kwa namna Fulani. Asante kunisaidia. Wafanyakazi weng wanaopata 500,000 ni wale waliosoma sana kwa muda mrefu na vikwazo kupitiliza, wengine ndio wenye vyeo maofisini ambako wanayo dhamana juu ya vitu vyenye thamani ya mabilioni ya shilingi kama sio mamilioni lakin ati waendelee kuwa waaminifu tu. Nani anaweza kuwa mwaminifu kutunza ugali ilhali ana njaa kali na hajui familia itakula nini leo? Wanaojilipa sana ndio hao wanaotuambia tungejee kulipwa mbinguni, nadhani wenyewe wameshajua kwamba mbinguni hawatakiwi.UNATIA HASIRA WANA WA INNJI HII.... unashanga anaepokea 500,000/= na anasavive!!
me napokea 120,000/ watoto 3 + mke, chumba kimoja, naishi kongowe kazi Tegeta na siku zinaenda
hiyo 500,000= sijawahi kuisikia kuiona. unatiana machungu tu. aghhhhhhrrrrrrrr!!!!!!!