Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,681
- 5,135
Kama kilikufa wewe kinachokuwasha Nini?Chadema chama ilikufa enzi za akina slaa hivi sasa kuna kikundi cha wafanyabiashara saccos!
mkuu hivi unamjua mbowe au una msikia tu kwenye bomba? kitu kimesukwa hicho unafikiri ruzuku na pesa ya kila mwezi wanazochanga wabunge viti maalumu ni chache? angekula wapi?Naandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula,iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?...
Kama kilikufa wewe kinachokuwasha Nini?
Unashindwaje kusinzia kwa kitu kilichokufa?
Watalose mara ngapi bwashee?
Akili ya Halima James Mdee ni kubwa kuliko akili za Mbowe na Mnyika ukizichanganya pamoja!
Hao wanaoshangilia ni Chadema akina Halima Mdee na wenzake!
Chadema chama ilikufa enzi za akina slaa hivi sasa kuna kikundi cha wafanyabiashara saccos!
Kwa hiyo unashauri CHADEMA wafanyaje sasa? Viongozi waendelee kumute tu as if hakuna lililotokea? Baraza kuu lisikae kwa kuwa maamuzi yao hayana maana? BAWACHA waendelee kukaa bila viongozi wa kuchaguliwa?chadema kupambana na kina mzee mdee ni kupoteza muda tu.
Chadema washawafukuza hao wachumia tumbo 19.Kwa hiyo unashauri CHADEMA wafanyaje sasa? Viongozi waendelee kumute tu as if hakuna lililotokea? Baraza kuu lisikae kwa kuwa maamuzi yao hayana maana? BAWACHA waendelee kukaa bila viongozi wa kuchaguliwa?
Kutokuchukua hatua stahiki kwa kuwa tu unaamini eti utashindwa ni udhaifu mkubwa sana unless ofcourse na wewe ni part ya hiyo syndicate.