Hii inatisha kama mafisadi CCM na boss wao wanawagwaya namna hii basi hatuna sarikali, tumebaki na kijiwe cha siasa!!!!!!!!!!Rais Kikwete amewatahadharisha makada wa CCM kuachana na hatua za namna yoyote za kumpuuza au kumshambulia Rostam katika majukwaa ya siasa.
Mbali ya hilo, ili kuhakikisha jimbo hilo linaendelea kubakia mikononi mwa chama hicho, Kamati Kuu iliwazuia makada wake wawili, Nape na John Chiligati, kwenda katika kampeni za chama hicho za kusaka mrithi wa Rostam huko Igunga.
Source: Gazeti la Tanzania Daima la leo.
Rais Kikwete amewatahadharisha makada wa CCM kuachana na hatua za namna yoyote za kumpuuza au kumshambulia Rostam katika majukwaa ya siasa.
Mbali ya hilo, ili kuhakikisha jimbo hilo linaendelea kubakia mikononi mwa chama hicho, Kamati Kuu iliwazuia makada wake wawili, Nape na John Chiligati, kwenda katika kampeni za chama hicho za kusaka mrithi wa Rostam huko Igunga.
Source: Gazeti la Tanzania Daima la leo.
CCM wamegundua hilo si wajinga kiasi hicho.Kwakuwa wakati RA anatangaza kujivua gamba aliwataja Nape na Chiligati kama wabaya wake, basi ilikuwa ni lazima wazuiwe kwenda huko kwa kuhofia hasira ya RA isijekuwatafuna wao wenyewe.
<br />Mi siamini source ya habari, Tanzania Daima si CDM hao!
Kama kweli wewe unakumbukumbu vizuri niambie kwenye jimbo la Marehemu Chacha Wangwe mlipeleka viongozi wenu wakuu wa kitaifa wangapi? Acha siasa uchwara za nape wewe..CCM haijazuia viongozi wake kwenda wa kitaifa kwenda huko iSipokuwa watakwenda kwa awamu. Chama kikubwa kama hicho viongozi wote wahamie huko inaingia akilini kweli. Kwanza nape tu ni sawa na viongozi wote wa chadema ndio maana wanafuatana kama nyumbu. Uliona wapi nchi ikapeleka jeshi lote kwa wakati moja. Labda mandamano
Kama kweli wewe unakumbukumbu vizuri niambie kwenye jimbo la Marehemu Chacha Wangwe mlipeleka viongozi wenu wakuu wa kitaifa wangapi? Acha siasa uchwara za nape wewe..[/QUOTE]Kama kweli wewe unakumbukumbu vizuri niambie kwenye jimbo la Marehemu Chacha Wangwe mlipeleka viongozi wenu wakuu wa kitaifa wangapi? Acha siasa uchwara za nape wewe.. huko iSipokuwa watakwenda kwa awamu. Chama kikubwa kama hicho viongozi wote wahamie huko inaingia akilini kweli. Kwanza nape tu ni sawa na viongozi wote wa chadema ndio maana wanafuatana kama nyumbu. Uliona wapi nchi ikapeleka jeshi lote kwa wakati moja. Labda mandamano
<br />Kikwete ametumia hekima ya halli ya juu sana,unajua Nape anakimaliza chama kwa kudhani anatetea uadilifu,haiwezekani eti ccm wanaoichafua ni watu watatu,haiingii akilini kwa mtu anayejua kuchambua mambo.waache uongo,Mwigulu ni kijana shupavu sana,mtulivu ,msomi na sio kilaza.
ni yaleyale tu kama chadema walivyomficha mbowe kwa chacha wangwe-tarime.Kwakuwa wakati RA anatangaza kujivua gamba aliwataja Nape na Chiligati kama wabaya wake, basi ilikuwa ni lazima wazuiwe kwenda huko kwa kuhofia hasira ya RA isijekuwatafuna wao wenyewe.
Umesahau Busanda na Tarime hadi mkakodi tingatingaCCM haijazuia viongozi wake kwenda wa kitaifa kwenda huko iSipokuwa watakwenda kwa awamu. Chama kikubwa kama hicho viongozi wote wahamie huko inaingia akilini kweli. Kwanza nape tu ni sawa na viongozi wote wa chadema ndio maana wanafuatana kama nyumbu. Uliona wapi nchi ikapeleka jeshi lote kwa wakati moja. Labda mandamano