Kamati Kuu CCM yawaka moto; Taarifa ya Kamati ya maadili yaumiza kichwa wajumbe

lile gamba zito wanatoa uko dodoma ufisadi kama kawa.watz hatujapata majibu ya msingi kutoka kwenye vizungumkuti na ufilisi wa nchi yetu.hawana jipya, kila jambo lina mwisho
 
BAADHI YA WAZEE WALIOWAHI KUVUMAA HUKO CCM WADAIWA KUKACHA VIKAO VYA NEC DODOMA BAADA YA KUNUSA HARUFU ZA FEDHA HEWANI NA POTEZESHA DIRA MKUTANO MZIMA NA VILE VILE 'MUSWADA WA MAKINDA' KUONEKANA SUBILI



Eti mkutano wa CCM Dodoma; hakuna kitu pale na ni bure kabisa!!! Swala lote la gamba kuvuka limegoma mara baada ya kuloweshwa na utitiri wa vijisenti na kuwa ngumu na kunata zaidi mwilini. Hiyo ndio maana baadhi ya wazee wa chama hicho wakaamua kujitunzia heshma zao mbali yale yanayoendelea huko.

Kuna ugomvi mkali mno wa makundiunaoendelea ndani CCM hadi dakika hii lakini yote yanaendelea hivi sasa nyuma ya pazia.

Nasema ugomvi hatari ya kuwahi kutokea CCM unaendelea kupamba moto hadi kakika hii tunavyoendelea kuandika humu.

HAKUNA tena mwenye ubavu wa kufungia paka fisadi kengele baada wale wazee wenyewe kusikia ukigeugeu na unafiki kutoka Magogoni hdi wakaamu kujiweka kando na mkutano wa NEC CCM kule Daodoma ambao kwa maelezo yao ni kwamba hauna dira.

Vile vile kuna taarifa kwamba nako nyumbani kwa wana CUF nako si shwari kote Bara na Visiwani kutokana na uamuzi wao kuunga mkono muswada uliowaondolea kabisa matumaini wananchi wa pande zote mbili.

Kama mtu bado anasubiri zaidi moshi wa kijani na zambarau kuhusu BOMU linalowasubiri hadi hivi sasa basi kajikalie hapo. Mama Anna Makinda wabunge wa CUF huku Dodoma wamevimaliza kabisa hivi vyama viwili vya CCM na KAFU; hakuna tena kitu pale!!
 
Back
Top Bottom