Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Kuna mengi yanayotokea. Kwamba hakuna waandishi hilo siliamini, siamini pia kuwa kuna tatizo la mawasiliano... kwa wengi hiki ni kipindi cha kuhangaika sana... nadhani, kuna nguvu inadhibiti waandishi huko TaboraMkuu ninasaka sana habari za uchaguzi Mkoa wa Tabora, kwa bahati mbaya hazipatikani au kama zinapatikana basi uandishi wake uko nusu nusu. Ina maana mkoa wangu hauna wawakilishi/waandishi wa magazeti?
Kuna mengi yanayotokea. Kwamba hakuna waandishi hilo siliamini, siamini pia kuwa kuna tatizo la mawasiliano... kwa wengi hiki ni kipindi cha kuhangaika sana... nadhani, kuna nguvu inadhibiti waandishi huko Tabora
Hivi Bashe hawezi kumfungulia mashtaka Mzee Makamba/CCM kwa kumchafulia jina? sheria zinasemaje juu ya hili?
Hawa watu wanajuana ndugu yangu usipate shida! They know exactly what they're doing!
Hawa watu wanajuana ndugu yangu usipate shida! They know exactly what they're doing!
huu unafiki,uzandiki na upuuzi una mwisho wake,hakuna lisilo na mwisho
kwani Bashe aliikosea nini Serikali? Hata wewe muuza maji ukitiliwa shaka utahojiwa tuHuojiwi uraia wako hadi uikosoe serikali
IlimsafishaIlimsaidia vipi ???
KivipiIlimsafisha
Na nasubiria jibu hilo hilo, atueleze namna walivyomsaidiaIlimsaidia vipi ???