Kamatakamata za magari wrong parking nje ya mji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamatakamata za magari wrong parking nje ya mji.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Amagezi, Jan 25, 2012.

 1. A

  Amagezi New Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti ni haki kuvutiwa gari parking za nje ya mji kama mwenge,sinza, nk.. ukipaki pembeni ya barabara wakidai wanasafisha jiji nfano nilipark TRA nje ndani kulijaa na wakanicharge tsh 195000. wakidai nimkakati wa manispaa kusafisha jiji, nanilipoenda manispaa kupata maelezo yakuvutiwa gari sehemu isiyokuwa nasaign ya wrong parking, pia madika yote ya dar es salaam parking ni pembezoni mwa njia ikiwemo bar, hotel, luku,photocopy, ofc nk. walinijibu manispaa inaandaa tender mzabuni akipatikana watalipisha parking kama mjini. sasa naomba kujua kama manispaa haijapata mzabuni wa kucharge parking kosa langu mimi niliepark gari sehemu ambayo mchukua pesa za parking hayupo likowapi?
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Pole kwa yaliyokusibu.
   
 3. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  pole sana mkuu,huu uonevu mpaka lini?
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu siku nyingine wasipokufunga hao manispaa wala wasikusumbue!unatimka zako tuu!mm nlishatimua mara nying tuu!hawana radio,wataandika namba!mjin magar meng watalionea wapi?wanaboa kichz
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nadhani utakuwa ni mkakati wa kutafuta pesa huo si unajua serikali imechoka sana kiasi cha kukata bajeti ya mawizaRA yake kwa 50%? Alafu wanaendelea kusema tumethubutu tumeweza na tunazidi kusonga mbele.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  hiyo 195,000 ulimpelekea mkeo hao ndio wachukua pesa mpwa
  wee lipa anza siku nyingine ni pm kuna parking nyingi tu za watu ,kampuni tayarisha kabuku chako tupige kazi vat included full kujiachia unarudi jioni kufwata gari yako
   
Loading...