Uonevu manispaa ya kinondoni kukamata magari parking pembeni mwa barabara

Amagezi

New Member
Jan 25, 2012
2
0
Kuna kamatakamata ya magari ukiparki pembeni ya barabara huku pembeni ya mji hata kama unaingia benki,dukani,supermaket nk. wakidai wenye maduka na mabenki au TRA walipie manispaa parking hizo kwakuwa eneolote la pembeni mwa barabara nieneo la manispaa na wanamkakati wakulitafutia mzabuni wakucharge parking kama mjini... japo sifikirii kama nikosa letu wenye magari lakini hao wanaofanya mchakato huo MWAKINGA AUCTION MART hawatoi risiti za selikari wakati wanadai ni charges za manispaa, ukiuliza ni ugonvi mkubwa. serikali iliangalie hili na haowanaopewa kazi yakukamata sio wastaarabu.
 
Hao jamaa ni zaidi ya uwajuavyo na ulivyoandika wana fanya mambo mengi sana yaliyopo nyuma ya pazia.

Kwanza ni wezi wakikamata gari yako wale vibaka wanayoivuta huiba vitu mbalimbali kama power window,relay,taa,mifuniko,sensor,ht wire

na walivyokuwa wababe gari lako watariburuta show ya mbele wanaweza kuivunja,tair watazipasua kwa ajiri ya kuziburuta

kasheshe kubwa ukienda kuichukua gari yako yard kwao utapigwa danadana weee.

Kingine gari ikikaa yard kwao huwa wanapiga sana chenji kota na kuiba vitu mbalimbali sana sana gear box na engine control huwa zinaibiwa sana na kupigwa chenji kota.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom