Kamatakamata ya Mateja:Kitale aamua kubadili jina haraka,Sasa sio Rais wa Mateja tena!!

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
Hii ni kali nyingine ya mwaka
Mkude Simba maarufu kama Kitale,aliyekuwa anajiita kama Rais wa Mateja na kuigiza kama Teja mkuu.
Ameamua kuachana na hilo jina,hata "Pages" zake ktk mitandao ya kijamii kaibadili na kuandika Mkude Simba toka kuwa Kitale Rais wa Mateja

Hii ni baada ya kamatakamata ya Mateja wa mjini,jamaa akaona isiwe tabu...Ili kuepukana na Lupango,bora abadili na jina.

Kweli hii kasi ya Makonda ni hatari sana
image.jpeg
 
Sasa anaogopa nini na yeye hutengenezewa mambo yake na 'babu'.
 
Huyu nae kabadili jina alikuwa anajiita Tozi teja sasa anajiita kervin mrema na bangi kaacha
d21d5774bb071c72ab0a428860db5e6e.jpg
54ca75f95823d92ef29098b003862bea.jpg
 
Back
Top Bottom