Kamata LIKES za ODM!!!

Kamata LIKES za ODM!!!

Haitakuangusha lazima nikeshe nikiomba ili mchina isikuletee longolongo maana bila wewe maji hayapiti.

Maji hayapiti? Maji gani? Hayapiti wapi?

Hebu ngoja kwanza nikuPM.
 
Hahahaaa jamaniiii ulijuaje kama kichoyo???

Kisingekuwa kichoyo si kingekiwekea sheria ya kujimilikisha kikojoleo cha jinsia nyingine? Sasa chenyewe kimekaa tuuu..... Sijui kimeziba? Manina!
 
Babu ODM nisubiri naja twende wote yakhe nani atakuwa anakupetipeti....
 
Kisingekuwa kichoyo si kingekiwekea sheria ya kujimilikisha kikojoleo cha jinsia nyingine? Sasa chenyewe kimekaa tuuu..... Sijui kimeziba? Manina!

Una uhakika???
 
Una uhakika???

Nna uhakika ndiyo. Angekuwa si mchoyo angejimilikisha kikojoleo kimoja afu aendelee kuvigonga vya masista, masista duu, wajane na mabaamedi kama tunavyofanya tusio wachoyo.
 
naunga mkono hoja,
acha hicho kidudu kipumzike tena
unakabana mno kaka
si katakuwa kama bamia, lol.
 
Nna uhakika ndiyo. Angekuwa si mchoyo angejimilikisha kikojoleo kimoja afu aendelee kuvigonga vya masista, masista duu, wajane na mabaamedi kama tunavyofanya tusio wachoyo.

Mmmh mi sikuwezagi!
 
Babu unaenda wapi? Mjukuu wako wa mpwapwa nasubiri zawadi.
 
Hana na hatakua nayo babu lol!

hah!! wewe mshauri awe hata na ya hivi?
Z
hako tu, wala sio kakubwa saana ni nyumba ndogo nzuri sana, mbona kujenga sio kazi kwa kijumba hiki!!
 
Ushanijaribu ukashindwa? Acha woga wako nawee.

Kwa kuanzia tuanze na avatar zetu, zikiwezana tujue la kufanya. Right?

Kama kwa kuanzia na avatar tu nishakuweza.. Hako kababy kako lovable afu kanaonekana katundu..
 
Kama kwa kuanzia na avatar tu nishakuweza.. Hako kababy kako lovable afu kanaonekana katundu..

Umeona eh? Like avatar like ODM..... Mautundu jadi yetu.

Come this way Ammie....
 
Back
Top Bottom