Kamata LIKES za ODM!!!

mchina wangu made in kinshasa, hana LiKe.
Ila si unjua mie nakuLiKe kiukweli kweli.

Yale mambo yetu tutayagonganisha wakati kijana wa Bikira Maria akiwa anapaa mbinguni kwa babake. Tukigonganisha kwa sasa bado ana hasira ya kugongwa na misumari hachelewi kutuchenjia. Mbona hujanigongea asee?
 
mambo si ndo haya....
Maana nimekuvalia kanga moja weeee huelewi.....
Nimekurembulia macho weeeeeeee ukajifanya huoni.....

Haya mi tabia nipo tayari kuibadili kwa ajili yako....mradi unilinde dhidi ya kongosho, si unajua ananyanyua vyuma mie simwezi?
Hahahaha........!

Naona umeanza kubadili tabia taratibu. Unatumia kinywaji gani?

Usimwogope kongosho, FYI huwa ananisaidia kwenye kugonganisha vinaniliyu vya wajukuu.

Come this way sasa.....:ballchain:
 
BT na ODM, mtahamia Kenya sasa hivi, mkabadili tabia za wagombea wa ODM.

Mtachezeanaje hadharani? Naona mnatafuta shambulio la aibu?
 
Leo roho inaumaa jamani.

Hivi BT amekuwa hivi lini?????

Kunichakachulia ODM wetu!!

ODM, kwa hii nyumba ndogo yetu ina hela?

Hahahaha........!

Naona umeanza kubadili tabia taratibu. Unatumia kinywaji gani?

Usimwogope kongosho, FYI huwa ananisaidia kwenye kugonganisha vinaniliyu vya wajukuu.

Come this way sasa.....:ballchain:
 
Leo roho inaumaa jamani.

Hivi BT amekuwa hivi lini?????

Kunichakachulia ODM wetu!!

ODM, kwa hii nyumba ndogo yetu ina hela?
Ngoja nimuulize kwa PM.

Hivi akisema hana tumfanye nini?
 
BT na ODM, mtahamia Kenya sasa hivi, mkabadili tabia za wagombea wa ODM.

Mtachezeanaje hadharani? Naona mnatafuta shambulio la aibu?
Hivi umeanza kukosa imani na mimi kuanzia lini. Kongosho ni asali ya ODM. Vingine sukari tu.

fyatanga, pale kwa nyuma kuna gesti hausi.
Ile ina kunguni afu vitanda vyake vinapiga kelele sana. Afu kwa umri wetu huu yanini tukagonganishie geshti haushi wakati kuna vikwangua anga vya aja kibao?
 
Habari zenu wakubwa mie nawasalimu tuuuu... dada Kongosho upo? kaka Rejao Canta hajambo? Babu ODM ulipata salamu zangu za pasaka? Hi CAnta?
 
Wakulu wangwe na vijukuu kwa mpigo marahaba.

Huyu mazee ODM anataraji kwenda maeneo ambayo laptop hairuhusiwi kufika na ikifika ukiiwasha haiwaki. Ukileta ukaidi ukang'angana kuiwasha screen haidisplay kitu....

Dadadeki ya Lusinde wallah... :smash:

Sasa basi kwa kuwa nawapendeni sana ntakuwa namisi kuwatendeeni haki kwa kale ka-button kangu pendwa ka LIKE. Kale kadude nisipokakong'oli mtima wangu huwa unashuka na mawasiliano kati ya ubongo na baiolojia huwa yanapata itilafu (Nahofia nisijebaka mitetea).

Sasa basi jiungeni nami kutakiana heri na kugongeana maLIKE.

Natumaini mchina wangu hataniangusha. hivyo Chit Chat kama kawaaa!

Hivi leo lini? Ngoja niwahi kaunta ya juu.

shikamoo babu ODM
 
Habari zenu wakubwa mie nawasalimu tuuuu... dada Kongosho upo? kaka Rejao Canta hajambo? Babu ODM ulipata salamu zangu za pasaka? Hi CAnta?
Sijapata mkuu.......... Ilikuwa shingapi vile? We ni mtu muhimu sana si unajua Those who bring sunshine into the lives of others, cannot keep it from themselves.

Ooops! file not found server..
Bonyeza Ctrl + Alt + Del
 
Back
Top Bottom