Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Habari zenu wakubwa mie nawasalimu tuuuu... dada Kongosho upo? kaka Rejao Canta hajambo? Babu ODM ulipata salamu zangu za pasaka? Hi CAnta?
Mie na mume wangu Rejao hatujambo kbs,vp smile mzima?
Habari zenu wakubwa mie nawasalimu tuuuu... dada Kongosho upo? kaka Rejao Canta hajambo? Babu ODM ulipata salamu zangu za pasaka? Hi CAnta?
Sijapata mkuu.......... Ilikuwa shingapi vile? We ni mtu muhimu sana si unajua Those who bring sunshine into the lives of others, cannot keep it from themselves.
Mie na mume wangu Rejao hatujambo kbs,vp smile mzima?
Yaani dogo tangu uzaliwe hako katufe umekagonga mara 148 tu? Dah.... Mchoyo sana wewe.hizi hapa
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 3rd December 2011
Posts : 889
Rep Power : 496
Likes Received139
Likes Given148
![]()
eeeh, na wajomba zangu wakiongozwa na Bishanga, ODM, TB, MTALY, MUSIMO, HERI YA PASAKA PIA KWENU PIA.
CHONDE CHONDE MSILEWE LEO
kwenye uzi wa https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/247252-salaam-zangu-maalum-kutoka-moyoni-mwangu.html
Yaani dogo tangu uzaliwe hako katufe umekagonga mara 148 tu? Dah.... Mchoyo sana wewe.
Oooh gud, Smile sijamuona leo siku ya NNe au tano!! umemuona popote au kenda Sinza?
Pole sn SS, km vp mpigie inawezekana yuko msiban!
Alafu nilinganishe na za ODM?
ngoja nimtafute halafu ntakupa jibu....
Senkyu asali wa moyo wangu..
Namuona Kongosho anasoma post yako kwa hasira sana...
Kwa nini jana ulinikimbia pale Tupendane Gest House?
Afu hata ule wali maharage hukulipia?
Badala ya soda ukanipa togwa?
deree....shukishà kwa mtigiro briji....haki leo nimekaa kiroro....ati umesemajee....?
Hi P?..........
Hivi Rejao si nlishakwambia achana naye? Nshachoka kushea naniliyu na maskini. Tafuta mwingine mwenye mahela.....:iamwithstupid:Kwa nini jana ulinikimbia pale Tupendane Gest House?
Afu hata ule wali maharage hukulipia?
Badala ya soda ukanipa togwa?
hi SS....