Acha kuPM wake za watu kisha kamata 'like' hiyo!
Baraka za nani? What do you mean?Hii shkamoo ina baraka za nani?
Er? Mpe hongera zake eti. Ila utafiti unaonyesha mme anapokuwa hana nyumba ndogo, basi ni LAZIMA mke awe na kidumu.....
Come this way.......
Ahsante sana ndugu msikilizaji ai miin msomaji wangu.Babu hebu nidadabulie maana ya nyumba ndogo hili linanitatiza sana! Kwani hiyo nyumba ndogo unaingia umechuchumaa au umeinama? Na nyumba kubwa ikoje?
Ahsante sana ndugu msikilizaji ai miin msomaji wangu.
Nyumba ndogo ni ile ambayo haina makelele miiingi. We ukiingia unapewa ile kitu roho inapenda. Ukishaipata unafunga virago kuelekea nyumba kubwa. Kule unaambulia misonyo, maneno mengi, mesengenyo na kunyimwa unyumba kwa kisingizio cha uchovu.
Kwa kifupi nyumba ndogo ni suluhisho la matatizo.
Nyumba ndogo hoyeeeeeeeeeeeeee!!
Ewaaaa.... sijui niseme na kingine au MODS watanilima ban?Kwa hilo nimekuelewa vizuri.
Ewaaaa.... sijui niseme na kingine au MODS watanilima ban?
Utafiti umeonyesha nyumba ndogo zinajua kuviringisha viuno vyenye shanga nyingi kuliko nyumba kubwa..... Afu nyumba ndogo zina ushirikiano kwenye kutoa vitu vidogo, vikiwemo vitundu vya upepo kuliko nyumba kubwa zinavyong'ang'ania kutoa vitu vikubwa tu......... Damn
Source: Kioo Kikubwa.
Ahsante sana ndugu msikilizaji ai miin msomaji wangu.
Nyumba ndogo ni ile ambayo haina makelele miiingi. We ukiingia unapewa ile kitu roho inapenda. Ukishaipata unafunga virago kuelekea nyumba kubwa. Kule unaambulia misonyo, maneno mengi, mesengenyo na kunyimwa unyumba kwa kisingizio cha uchovu.
Kwa kifupi nyumba ndogo ni suluhisho la matatizo.
Nyumba ndogo hoyeeeeeeeeeeeeee!!
Babu ODM, like kitu gani, tugonganishe yale mambo yetu.
Mianaume ndivyo tulivyo.Ahsante sana ndugu msikilizaji ai miin msomaji wangu.
Nyumba ndogo ni ile ambayo haina makelele miiingi. We ukiingia unapewa ile kitu roho inapenda. Ukishaipata unafunga virago kuelekea nyumba kubwa. Kule unaambulia misonyo, maneno mengi, mesengenyo na kunyimwa unyumba kwa kisingizio cha uchovu.
Kwa kifupi nyumba ndogo ni suluhisho la matatizo.
Nyumba ndogo hoyeeeeeeeeeeeeee!!
Mwanaume asiye na spare tyre ana matatizo. Source: ODM
Nimekuja kuvuna matikiti maji na matango huku Kerege. Nikuletee zawadi ya Tango?