PostGE2025 Kamata kamata mitaani imeshika kasi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hawa makumah wanatia hasira ngoja tushushe kadhaa ili tuelewane kwanza...
 
leo ni siku mbaya kwa vibaka walifikiri jeshi limelala

amani ya nchi italindwa kwa namana yoyote kazi na utu tunasonga mbele
Amani bila haki?? Vibaka ni waliojitangaza bila ya ridhaa ya wananchi na kuapishana kwenye kambi za jeshi. Uliona wapi hiyo?
 
Suluhisho ukiona ni uzushi lete ukweli wako. Kama huna wewe ndiye mzushi maana hoja hujibiwa kwa hoja.
Habari siyo hoja, habari inapaswa kuwa na uthibitisho,mtu analeta habari hasemi ni wapi,analeta picha tu na mnataka tuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…