PostGE2025 Kamata kamata mitaani imeshika kasi

PostGE2025 Kamata kamata mitaani imeshika kasi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Habari siyo hoja, habari inapaswa kuwa na uthibitisho,mtu analeta habari hasemi ni wapi,analeta picha tu na mnataka tuamini
Ni uthibitisho gani mnaoutaka? Ni mangapi unayapinga humu? Hebu usiwe na degedege hakuna hayawani wa kumezeshwa matango pori kama huko lumumba.
 
Waanzilishi wa taifa la marekani,punde baada ya kupata uhuru, sheria ya pili (2nd amendment) ya katiba, waliiweka ikiruhsu umiliki wa silaha kwa kila raia wake, walidai kuwa Kuna siku serikali itawageuka raia kama Waingereza walivyowageuka wao.


Sisi baada ya uhuru, article 2 ya katiba inampa madaraka rais kugawa nchi katka mikoa..


Akili kumkichwa
 
leo ni siku mbaya kwa vibaka walifikiri jeshi limelala

amani ya nchi italindwa kwa namana yoyote kazi na utu tunasonga mbele
Kusonga mbele ni ngumu mkuu
Maana wakiitisha maandamano jumapili mtafunga nchi pia
 
Back
Top Bottom