sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 553
- 1,916
Polisi na wajeshi wanapita mitaa muda huu wanakamata kila mtu aliyekuwa nje..Huyo kijana mwenye shati jeupe amedakwa muda huu anapelekwa kwenye gari
Upumbavu ni mwingi sana.Polisi na wajeshi wanapita mitaa muda huu wanakamata kila mtu aliyekuwa nje..Huyo kijana mwenye shati jeupe amedakwa muda huu anapelekwa kwenye gari
View attachment 3513500
Uzushi baada ya mwinginePolisi na wajeshi wanapita mitaa muda huu wanakamata kila mtu aliyekuwa nje..Huyo kijana mwenye shati jeupe amedakwa muda huu anapelekwa kwenye gari
View attachment 3513500
Suluhisho ukiona ni uzushi lete ukweli wako. Kama huna wewe ndiye mzushi maana hoja hujibiwa kwa hoja.Uzushi baada ya mwingine
Amani bila haki?? Vibaka ni waliojitangaza bila ya ridhaa ya wananchi na kuapishana kwenye kambi za jeshi. Uliona wapi hiyo?leo ni siku mbaya kwa vibaka walifikiri jeshi limelala
amani ya nchi italindwa kwa namana yoyote kazi na utu tunasonga mbele
Habari siyo hoja, habari inapaswa kuwa na uthibitisho,mtu analeta habari hasemi ni wapi,analeta picha tu na mnataka tuaminiSuluhisho ukiona ni uzushi lete ukweli wako. Kama huna wewe ndiye mzushi maana hoja hujibiwa kwa hoja.