Kamata dili hili hapa

Kamata dili hili hapa

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
Ndugu zangu, natafuta zile wheel cover, nataka kutangaza biashara yangu ambaye ana kampuni yake inayoziprint au kutengeneza aniambie nataka moja kwanza niichek then bei ikiwa nzuri tutaongea vizuri. vilevile wadau mnaojua bei mnisaidie nisishikwe masikio. nipo arusha, sana sana kwa wale wa dar na arusha nawapa kipaombele maana ndo ntaweza kuwafikia.
 
Unataka wheel cover ngapi? Maana kwenye printing quantity determines price. Logo yako ina rangi ngapi pia? If you tarehe serious nipm.
 
nataka moja kwanza ya gari yangu then bei ikiwa affordable nitaongeza kidogo. logo yangu ina rangi kama tatu naweza kukutumia uone tukikubaliana, vip bei?
 
Back
Top Bottom