Highlander JF-Expert Member Feb 12, 2012 3,093 1,075 Jun 4, 2013 #2 Alifungwa kwa kosa la kuwa na dola za marekani mfukoni bila risiti ya Burea de Change. sina hakika kama katoka kifungoni au la
Alifungwa kwa kosa la kuwa na dola za marekani mfukoni bila risiti ya Burea de Change. sina hakika kama katoka kifungoni au la
N Nabihu JF-Expert Member Mar 20, 2012 293 109 Jun 4, 2013 Thread starter #3 ok nafikir katoka nimeona makala yake kwny gazeti la TAZAMA TANZANIA J.3 nakumbuka tu mwaka 1993