Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,814
- 9,339
Habari ndugu, jamaa, rafiki na wote kwa ujumla.
Tunasikitika kuwatangazia taarifa ya msiba wa ndugu yetu mpendwa, GODFREY MAHUNDI, aliyefariki dunia akiwa Songea usiku wa kuamkia tarehe 5 Septemba.
Mazishi yatafanyika tarehe 8 Septemba, siku ya Jumanne.
Mungu ametoa na Mungu ametwaa; jina lake lihimidiwe.
Umevipiga vita vilivyo, imani umeilinda.