Huyu Ndiye
Senior Member
- Jan 23, 2026
- 173
- 356
Nimemkumbuka IGP Haroun Mahundi. RIP Afande
umenena vema, maana ni kweli kabisa kuwa sio mapolisi wote na makatili.Kama October 29 alifanya yake basi atokomee motoni, kama ni mtu safi basi akaimbe zake pambio peponi.
Yangu ni hayo tu!
Kabisa!umenena vema, maana ni kweli kabisa kuwa sio mapolisi wote na makatili.
Alikuwa bado kijanaHabari ndugu, jamaa, rafiki na wote kwa ujumla.
Tunasikitika kuwatangazia taarifa ya msiba wa ndugu yetu mpendwa, GODFREY MAHUNDI, aliyefariki dunia akiwa Songea usiku wa kuamkia tarehe 5 Septemba.
Mazishi yatafanyika tarehe 8 Septemba, siku ya Jumanne.
Mungu ametoa na Mungu ametwaa; jina lake lihimidiwe.
Umevipiga vita vilivyo, imani umeilinda.
Hii kauli huwa ya kinafki sana kwa hiyo akifa wasira kesho mtasema alikuwa Bado Mzee sana au?Alikuwa bado kijana