Ingawa zilipigwa 'promosheni' za muda mrefu huko kata ya Iyela jijini Mbeya kuwa kutakuwa na mkutano wa kamanda wa anga, bwana Mbowe..!!
Lakini leo ilikuwa ni aibu kubwa kwa Mbowe kwani alionekana kuhutubia miti huku watu wengi wakionekana kuendelea na shughuli zao kama hakuna kinacho endelea.
Kamanda wa anga kwa kujikaza na aibu hiyo, aliendelea tu kuhutubia miti huku watu wakiwa wachache, pia sura yake haikuwa yenye furaha kabisa kutokana na mwitikio mdogo wa watu kwenye mkutano wake, aidha, ilikuwa ni fedheha kubwa kwa bwana Mbowe.
Baada ya kumaliza kupiga makelele yake jukwaani alielekea ofisi ya kata ya Iyela huku msafara wake ukiwa umetawaliwa na watoto wa shule ya msingi ambao hawakuwa wanajua chochote.
Pole kamanda wa anga.