Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
'I wish I could be IGP' by JPM,hii ni kauli ya hovyo kuwahi kuisikia,kwani kwa cheo chake kaweza kila kitu? Mbona tunataabika tu ajira na vinginevyo.
Afadhali ya hao,hivi jeshi haliwezi kumuadhibu rais?Mkuu umeniwahi.
Hakika ningekuwa igp na siro ningekuwa uraiani kitamboo.
Huwa sipendagi ujinga, hawa wawili wana kipindi kizito sana
Kadanganye watoto!Mkuu umeniwahi.
Hakika ningekuwa igp na siro ningekuwa uraiani kitamboo.
Huwa sipendagi ujinga, hawa wawili wana kipindi kizito sana
Kamanda anajua kazi zake na yote yanafanyika Kwa vikao.. Hata majina kutajwa anajua kazi iliyopo
Analeta ubabe wakati hata mgambo hajapitiaAfadhali ya hao,hivi jeshi haliwezi kumuadhibu rais?
Kuna yule jamaa aliyepindua nchi yake zaidi ya mara mbili nadhani ni sababu ya mambo kama haya
Unajua kazi ya askari wewe? au unaongea tu? kwanza tushukuru Mungu POLISI wa Tanzania wameanza kupata shughuli za kuwaweka busy katika mambo ya msingi, siyo kama enzi zile walikuwa wana-deal na Wapinzani tuuuuuuuuuu, sasa hivi tunamshukuru Mungu amri inatoka juu waziwazi, na wanaitekeleza haraka.