Kamanda mwema , waziri wa mambo ya ndani oneni mfano huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda mwema , waziri wa mambo ya ndani oneni mfano huu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jun 23, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kamanda Mwema Polisi na viongozi husika kwa karne hii ya sayasni na teknolojia Polisi jamii sio kuhishia kutoa number za ma RPC tu.

  • Tunataka tupate umber za wakuu wa vituo tulivyo karibu navyo. Siwezi kumpigia RPC kwa kero za bar inayochelewa kufungwa na muziki mkubw huku uswazi.
  • Tunataka tujue polisi na vituo viinafanya nini inapokea kero ngapi?

  Mfano .Kwa kutumia ICT wenzetu wanafanya hivi Man charged with hacking offences - Metropolitan Police Service.

  Nimekutana na hiyo habari wakati nafutilia habari za huy kijana a aliyekuw anasumbua tovuti za FBI. lakini unaona Jeshi la polisi la huko Uk sio tu wana tovuti bali pia wana wako kwenye Youtube, twiitter , flickr. Je hamuwezi kuiga hivi. Au hakuna watu wa mawasiliano wa kutosha

  Ingawa kazi yenu ni nzito na bajeti ni finyu Polisi jamii iwe kwa vitendo. Tumieni fursa za ICT kufikia na kuwa karibu na jamiii.  Nawasilisha
   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  WAZO ZURI SANA mkuu!!! safi sana nadhani wamo humu watasikia hili polisi wanatakiwa waende na wakati.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Sharobaro unadhani wanajali basi

  Yaaani hata vituo vya televison TBC ITV na star TV havina official channel zao yutube sasa kwa polisi si ndo itakuwa kama hesabu trigonmetry kwa mtoto wa darasa la tatu. teh teh teh

  Yaaaani sisi mpaka leo tumekariri kuta taarifa mpaka mtu aende idara ya habari maelezo.. Bado tuko mwaka 1990. Twitter ndo idara ya habari ya maelezo ya ki electroniki


  Cheki jamaa wanavyotoa mawasiliano yao kwa jamiii http://twitter.com/#!/metpoliceuk Wenzetu wako serious


  Twitter haiitaji programmer wala web desinger . Tunashindwa nini jamani. Youtube ni bure
   
 4. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  What you TBC and other Tanzania TVs don't know ni kwamba mtafanyiwa kitu kinaitwa 'domain parking' halafu mje kulipia domains kwa milions. Vile vile, watu wanaweza kutumia twitter and facebook zenye trademarks zenu kufanya utapeli na manipulation. Be quick.
  Kuna wadau wengi tu humu ndani ambao I'm sure you can work together kwenye suala zima la social interaction, including kufanya livestreaming, starting #trending topics on twitter kupata maoni ya watu, creating facebook pages using FBML and IFRAME + static HTML, among other things. Just find it in your hearts the need to ask for help (if necessary).
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  wazo la msingi sana kamanda...utekelezaji ndio kizungumkuti.
   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  True kabisa
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  U know what

  Ebu wewe jaribu kupiga simu kuwapa ushauri na maoni usiany governemnt institution. Uone

  Nimewai kupiga simu ofisi kadhaa za serikali kuomba wahusika wa vitengo vya habari na ICT kuwapa maoni majibu niliyopata...... ....poliitical

  IN one case nilivyomaliza kutoa maoni katika simu muhisika akaniambia siku tatu zilizopita wameongelea hilo jambo kwenye kikao cha kazi na watalifanyia kazi. Ni zaidi ya mwaka sasa toka nitoe maoni yale na hakuna ilichobadilika. teh teh teh Na kitu chenyewe wala hakiitaji pesa wala muda.
   
Loading...