Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,739
- 6,644
Imebidi nicheke tuKuna siku alikua anamwambia mhalifu"WACHA KUPUMUA PUMUA WEWE"
Imebidi nicheke tuKuna siku alikua anamwambia mhalifu"WACHA KUPUMUA PUMUA WEWE"
Hahah alimwambia hivyo mchiz na sijui alimaanisha nini mkuu.Imebidi nicheke tu
Kwa kutoa misemo mipyaSasa kwa lipi lakini.
Alitaka afe kabla ya kufikushwa Mahakamani?Kuna siku alikua anamwambia mhalifu"WACHA KUPUMUA PUMUA WEWE"
Kwani mahakama ikimtia hatiani mtu kwa kisa la wizi huwa inamuita mwizi?Ni lijinga limoja tu lina harrass watuhumiwa linatoa hukumu kwamba mtu ni mwizi wakati mahakama ndo itakayotoa hukumu baada ya kumtia mtu hatiani
HahahahaaKuna siku alikua anamwambia mhalifu"WACHA KUPUMUA PUMUA WEWE"
Mtu akiba aitwe jina gani sasa kama sio mwizi??!!Kwani mahakama ikimtia hatiani mtu kwa kisa la wizi huwa inamuita mwizi?
Embu fuatilia jinsi hukumu zinavyotolewa mahakamani, uone kama kuna mahali mtu akitiwa hatiani kwa kosa la wizi huitwa mwizi!
Mwizi huwa siyo mwizi, kuanzia kwako wewe unayeona mwizi hastahili kupewa hicho cheo chake anachokitafuta kwa jasho.
Hata akiwa gerezani kafungwa kwa wizi, haitwi mwizi bali huitwa mfungwa kwa kuwa neno 'mwizi' ni udhalilishaji na ni kukiuka haki za binadamu.
Mwizi akiisha kushikwa wizi anaitwa mwizi, muuwaji akishikwa kauwa anaitwa muuwaji, changudoa akikamatwa kwenye mitego yake anaitwa malaya nk nk.Mtu akiba aitwe jina gani sasa kama sio mwizi??!!
ni binamu wa baba angu,yani huwa ni mcheshi sana na utani mwingi.huwa nashangaa hiyo mikwara yake kwa wahalifu anayoitoaga mbele ya cameras .Aliesoma na jamaa atupe Cv yake.
Ni mtu wa media na mipasho,wapo wachapakazi kimyakimya kuna mikoa yenye 'mishe' nyingi lakini kumsikia RPC ni nadra sanabinafsi namkubali xana. ni mchapakazi mzuri
kiongozi yoyote unatakiwa kuihabarisha umma kila wakati...wewe kwanini unafikiri marekani kila wakati jambo dogo tu Rais wao lazima awe live televised.....ndo ujue power ya media.Ni mtu wa media na mipasho,wapo wachapakazi kimyakimya kuna mikoa yenye 'mishe' nyingi lakini kumsikia RPC ni nadra sana
Ukiwa wa kuonekana onekana at the end watu hawatakuchukilia serious,yeye anawatafuta/anawaita media personel lakin I prezidaa wa usa anatafutwa kasema nini,ni world figurekiongozi yoyote unatakiwa kuihabarisha umma kila wakati...wewe kwanini unafikiri marekani kila wakati jambo dogo tu Rais wao lazima awe live televised.....ndo ujue power ya media.
Mkuu samahani nje ya mada nipe mbinu za kuipenda na kuwa mtetezi wa kila kifanywacho na awamu yatano,naona to me ndio namna ya kuwa na amani...nothing personal lakinikiongozi yoyote unatakiwa kuihabarisha umma kila wakati...wewe kwanini unafikiri marekani kila wakati jambo dogo tu Rais wao lazima awe live televised.....ndo ujue power ya media.
Kuna siku alikua anamwambia mhalifu"WACHA KUPUMUA PUMUA WEWE"