Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,391
Mtu akiba aitwe jina gani sasa kama sio mwizi??!!
Mtu aibe halaf uanze kuleta mambo ya haku za binadamu sijui nn
Mtu akiba aitwe jina gani sasa kama sio mwizi??!!
Hata Mimi nilihoji hill mahakama ndo inatakiwa itoe tamko la mwishoNi lijinga limoja tu lina harrass watuhumiwa linatoa hukumu kwamba mtu ni mwizi wakati mahakama ndo itakayotoa hukumu baada ya kumtia mtu hatiani
Hii kweli!! Mbona haya ni maneno ya kiswahili na yapo wezi na wezi Kabla hata limuroto halijazaliwa? Alichoasisi hapo ni nini?Ni muasisi na mwazilishi wa "Kupata tabu sana".
Kuna tetesi kuwa mamlaka ya uteuzi itampa U -IGP
Lafudhi yake na mazingira alipotumia hilo neno na timing piaHii kweli!! Mbona haya ni maneno ya kiswahili na yapo wezi na wezi Kabla hata limuroto halijazaliwa? Alichoasisi hapo ni nini?
Aisee,ila sijajua kwa nchi zilizoendelea hali ipojeTaka tu hiyo! Huwezi kuwa smart na ukawa polisi!! Upolisi ni 5th selection, that's fact.
Lafudhi yake na mazingira alipotumia hilo neno na timing pia
Ni kama ilivyo 'yajayo yanafuhisha', 'not to that extent in .... voice' etc,sjiu km kiswahili changu cha zamani kipo sawa yaitwa misimuHii kweli!! Mbona haya ni maneno ya kiswahili na yapo wezi na wezi Kabla hata limuroto halijazaliwa? Alichoasisi hapo ni nini?
Hii kweli!! Mbona haya ni maneno ya kiswahili na yapo wezi na wezi Kabla hata limuroto halijazaliwa? Alichoasisi hapo ni nini?
Hahah alikua anahema juu juu kwa uoga.Jamaa alikuwa anajamba sn nn?!
Thubutu kwanza amekaribia kustaafu au akizingua tunamrudisha makao makuu akasome magazetiAyijipii mtarajiwa,wameshajua mkuu anapenda nini
Limewekea mkazoHii kweli!! Mbona haya ni maneno ya kiswahili na yapo wezi na wezi Kabla hata limuroto halijazaliwa? Alichoasisi hapo ni nini?
ndo hivyo anajiongeza ili tumwone kuwa yupo kaziniNi mtu wa media na mipasho,wapo wachapakazi kimyakimya kuna mikoa yenye 'mishe' nyingi lakini kumsikia RPC ni nadra sana
Nmecheka sanaKuna siku alikua anamwambia mhalifu"WACHA KUPUMUA PUMUA WEWE"